Hivi masalia wameishia wapi, nakumbuka mlivyokuwa mnatokwa mapovu kuwatetea. CDM huwa haturudi nyuma hatuna gea ya rivasi ni mbele kwa mbele tu, hata hapa mtanyamaza punde.Yaani mmekosa hoja kwa hili.
mnaungaunga maneno.
Haya sasa, wale bendera
fuata upepo njooni na hili mpongeze. Mliwapongeza wafukuzaji sasa
njooni mpongeze na kutenguliwa kwa maamuzi ya wafukuzaji...
Leo unaona fahari kushabikia somo la udini kutoka kwa kiranja wenu mkuu mr Fastjet yatakapowageuka msianze kulia lia eti amani inatoweka, yakibuma huwa hakuna cha mwenye kigoda wala mwenye meza muulizeni marehemu kakadafi alichofanyiwa.Halafu hawa madawani haya majina yao ndio yanawaponza...
Ukishakuwa na majina kama haya Ally Zeddy na Mariam Daudi Chacha,Zito Zuberi,Arfi,Habibu Mchange basi wewe
ni katika wale Magaidi...wavaa Vipedo..wavaa Kanzu...wala haluwa,....wala tende...wakaa vibarazani....wasiosoma...
Dr Slaa mwenyewe ndio anaongoza kwa kuvunja katiba!
Msitake niseme mengi ila mkitaka ntamwaga kila kitu hapa kuhusu dr.
Leo unaona fahari kushabikia somo la udini kutoka kwa kiranja wenu mkuu mr Fastjet yatakapowageuka msianze kulia lia eti amani inatoweka, yakibuma huwa hakuna cha mwenye kigoda wala mwenye meza muulizeni marehemu kakadafi alichofanyiwa.
Sikushangai keep on keeping on maana Udini ni sera yenu iliyobarikiwa na viongozi wenu wakuu wa CCM.Acha uwoga wewe ... mimi udini nlioleta upo wapi... Hayo majina ndio mnayotuita Humu JF
Magaidi...wavaa Vipedo..wavaa Kanzu...wala haluwa,....wala tende...wakaa vibarazani....wasiosoma...
Au unaona nyinyi ndio mna haki peke yenu ya kutuita haya majina ? Tukijiita wenyewe inakuwa tabu ?
Acha uchoyo
Sikushangai keep on keeping on maana Udini ni sera yenu iliyobarikiwa na viongozi wenu wakuu wa CCM.
Umempatia kwelikwei hawa ni wanafiki mnoAcha uwoga wewe ... mimi udini nlioleta upo wapi... Hayo majina ndio mnayotuita Humu JF
Magaidi...wavaa Vipedo..wavaa Kanzu...wala haluwa,....wala tende...wakaa vibarazani....wasiosoma...
Au unaona nyinyi ndio mna haki peke yenu ya kutuita haya majina ? Tukijiita wenyewe inakuwa tabu ?
Acha uchoyo
Usimsahau na padre mpiga kampeni makanisaniUdini tungeusema sisi ...sio wewe...kwani hatuoni mnayutufanyia huko maofisini ... kwenye nafasi za kazi....tunayaona yote ...na usidhani kwamba sisi ni mabwege .... udini upo kweli lakini nyinyi ndio mmmeuanzisha mkiongozwa na Mwenye heri nyerere....
Hayo ndiyo wameona? Mbona Mtela hakusikilizwa? CDM NI GENGE LA WAHUNI.
Haya sasa, wale bendera fuata upepo njooni na hili mpongeze. Mliwapongeza wafukuzaji sasa njooni mpongeze na kutenguliwa kwa maamuzi ya wafukuzaji...
Chama cha mungu yupi? Inaongekana huyo mungu dhaifu sana amekubali kuwa chama cha upinzani.
matokeo ya form four tunayajua....Dr Slaa aliiba mke wa mtu.
Nipeni kifungu ktk katiba ya CHADEMA kinachoruhusu mwanachama wake kumnyang'anya mwananchi mnyonge mke!!
Tusitukanane jamani,naomba tushindane kwa hoja,tusishindane kwa matusi!!
Dr. Slaa ana busara sana.
sikiliza mkuu sisi cdm tukiona kirusi tuna deliti saa hiyo hiyo kama kuna makosa tuna resrore hararaka chezezea chama cha mungu wewe utalala njaa k. wewe......
Dr Slaa aliiba mke wa mtu.
Nipeni kifungu ktk katiba ya CHADEMA kinachoruhusu mwanachama wake kumnyang'anya mwananchi mnyonge mke!!
Tusitukanane jamani,naomba tushindane kwa hoja,tusishindane kwa matusi!!
Mkuu kula "five"