Bob Lee Swagger
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 1,362
- 519
Dr Slaa mwenyewe ndio anaongoza kwa kuvunja katiba!
Msitake niseme mengi ila mkitaka ntamwaga kila kitu hapa kuhusu dr.
Ama kweli CDM ni janga la kitaifa,yani madudu yote hayo wanayoyafanya bado hamjaamka tuu lol!Wameshindwa 'kumwaga kila kitu' wale wanaoonekana kila sehemu kwenye mikutano na wale wanaokuja na majina halisi humu ndio uweze wewe unayejificha nyuma ya keyboard?! Tena na jina la kuchonga?! Kweli akili fupi hatari ya nchi!
Dr Slaa mwenyewe ndio anaongoza kwa kuvunja katiba!
Msitake niseme mengi ila mkitaka ntamwaga kila kitu hapa kuhusu dr.
Dr Slaa mwenyewe ndio anaongoza kwa kuvunja katiba!
Msitake niseme mengi ila mkitaka ntamwaga kila kitu hapa kuhusu dr.
Mwaga kama unajeur we gamba
Ni kweli, akiamua kuzitumia anazo...
hahaa mkuu!Haya sasa, wale bendera fuata upepo njooni na hili mpongeze. Mliwapongeza wafukuzaji sasa njooni mpongeze na kutenguliwa kwa maamuzi ya wafukuzaji...
Dr Slaa aliiba mke wa mtu.
Nipeni kifungu ktk katiba ya CHADEMA kinachoruhusu mwanachama wake kumnyang'anya mwananchi mnyonge mke!!
Tusitukanane jamani,naomba tushindane kwa hoja,tusishindane kwa matusi!!
Huyu Dr kaanza kuchanganyikiwa nini? alipowafukuza madiwani wa arusha alitumia katiba hiyo hiyo wanayoitumia wenzake!Mijitu itakuja kumsifia padri slaa hapa wakati yalisha shangilia kufukuzwa kwao.Mbavu kabisa
Siku zote huwa anatumia busara zake katika kila maamuzi ayafanyayo.
you don't know what you are saying woman!kesi hazifanani hiziHuyu Dr kaanza kuchanganyikiwa nini? alipowafukuza madiwani wa arusha alitumia katiba hiyo hiyo wanayoitumia wenzake!
Mwampamba na Shonza??????
Hiki ni chama cha Kufukuzana
Ni kweli anatumia busara hadi kuchukua mke wa mtu.
Dr Slaa aliiba mke wa mtu.
Nipeni kifungu ktk katiba ya CHADEMA kinachoruhusu mwanachama wake kumnyang'anya mwananchi mnyonge mke!!
Tusitukanane jamani,naomba tushindane kwa hoja,tusishindane kwa matusi!!
Kesi ipi?you don't know what you are saying woman!kesi hazifanani hizi
Vyovyote iwe ila hii habari imedhihirisha kuwa chadema kupitia slaa huwa inazingatia kanuni kwa msingi wa demokrasia.Haya sasa, wale bendera fuata upepo njooni na hili mpongeze. Mliwapongeza wafukuzaji sasa njooni mpongeze na kutenguliwa kwa maamuzi ya wafukuzaji...
Sema SU!
tupo hapa na mi ni mmoja wao niliyeshangilia ila leo ndo tumegundua katiba haikufuatwa .....sema lingine we ze ki hiace....silly.