Slaa anatisha Urambo .Tabora

Wakati umefika ambapo propaganda za ccm zimekuwa dhaifu mbele ya watanzania ambao washaamua 'liwalo na liwe' lakini sio kuwa chini ya utawala wa kikaburu wa ccm.
 
Mbona ana sura ya kawaida tu?

Sasa anatishaje watu, ???
Wenye busara na hekima unena kwa nahau na methali,na wenye kuwaelewa sharti wawe na sifa kama zao.
Mwenye meno hatafuniwi chakula.
 
Chanja chanja doctor, fungua njia wanaoumwa matumbo wakahare.
 
sijui magamba watatoka na singo gani nyingine
 
Naona makamanda mnajiliza na kujifariji.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…