Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 724
Kiukweli hali inayo endelea sasa inatisha na kwa kweli ina tishia kabisa uhai wa ccm kabisa.Gwiji la siasa Dr Slaa mikutano yake ina tisha.Hali huko Mwanza tena Mbowe naye anafunika siyo kawaida.Sijui sasa ccm watabuni mbinu gani.Naona Zito ame watia tu hasara hakuna lolote alilofanya,wamepoteza hela bure.Nadhani wanaweza kumnyang'anya
Mkuu,
Inatisha kiaje? Hebu tuwekee picha basi.
Sasa hivi na CCM wanabuni mbinu kama zile za CHADEMA. Wamepanga kufukuza mawaziri ili na wao waonekane wanayaweza maamuzi magumu! Lakini too late!
Kila mtu anatisha kwa namna yake. Mbona hata wewe una sura ya kawaida lakini watu wakikuona wanatishika kwa vile ulikata panga pesa ya rambirambi!!Mbona ana sura ya kawaida tu?
Sasa anatishaje watu, ???
Sasa hivi na wao wanabuni mbinu kama zile za CHADEMA. Wamepanga kufukuza mawaziri ili na wao waonekane wanayaweza maamuzi magumu! Lakini too late!
CCM kwa sasa wanahangaika sana! Hebu tazama wananyohangaika pale Lumumba akina Simiyu yetu, ZeMarcopolo, Chabluma, Mwanadiwani na vibaka wengineo wa buku 7. Kazi kwelikweli!