ndugu zangu jamvini mahali ambapo dk slaa angezoa robo tatu ya kura ni mererani lakini cha ajabu katika uongozi wa chadema hakuna aliyefikiria hilo pale kuna kura zaidi ya 22,000.Bahati mbaya wagombea wote wa urais hakuna aliyepitia Mererani zaidi ya mgombea mwenza wa ccm dk mohammed gharib bilali ambaye ameshuka rasmi leo mchana.kama ilivyo kwa freeman mboye alivyoenda arusha jana basi kwa kuwa yupo karibu ajaribu kutumia kesho ijumaa na jumaposi kutia timu mererani hiyo itawasaidi sana chadema.