fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,065
Huyu ni opportunist ambaye anaweza ku swing popote! Huwezi mlinganisha na mtu kama Mbatia ambaye hateteleki.
Alikuwa upande wenu wala hamkumsikiliza, mwisho wa siku mlisaliti nguvu, kazi, kujitoa, (imagine alivunjwa mpaka mkono) na mwisho kabisa maono yake. Wasiokuwa upande wake wakamkumbuka. Mwisho wa siku unategemea ampende na kumtumikia nani? Use your brain bro
Mkuu nafikiri shida ni mama... this is not Slaa (PhD ) we all knowPopote penye maslahi yake binafsi Slaa atapatetea. Ana uwezo mzuri wa kujieleza hivyo ni rais kueleweka na wengi. Lakini inapokuja kwenye msimamo, maslahi yake binafsi ndio huamua awe upande gani.
Mkuu nafikiri shida ni mama... this is not Slaa (PhD ) we all know
How tena!!?So the Slaa PhD you know is < mama, or under control of mama? how
Kageuka kuwa mchumia tumbo wa Hatari ?Napata taabu kuelewa naomba msaada wenu, kuuliza si ujinga wakuu.
Hivi Slaa (Dr.) anaamini juu ya sera na itikadi gani? Maana alipokuwa CDM aliwasasha moto mkubwa kwa CCM, tena moto mkubwa haswaaaa. Aligombea Urais 2010 kupitia CDM hii ikimanisha haikuikubali CCM, Sera zake na itikadi yake, pia au hakumkubali JK.
Kwa vile 2015 alijiondoka chamani ilionesha pia hakumkubali EL, ni ni kweli alimtaja sana kama fisadi mkubwa na mtu asiyefaa.
Sasa yuko CCM alipo JK na EL kwa pamoja, pia kwenye sera na itikaidi ileile, contradiction!!!! am getting confused yaani CCM Enzi zile za 2005, 2010 hadi 2015 October alikuwa anapigania nini? na sasa anapigania nini?
Alihama CDM kwa vile EL aliingia CDM, yaani muda wote anapambana akiwa upinzani alipambana juu ya mtu? sio sera na itikadi? ila Slaa huyo huyo hahami CCM kwa EL kurejea CCM, nini kinamshikiria huko ambacho kilikosekana wakati EL anahamia CDM ili kumshikilia?
Namweshimu kwanza kama Padri pia mtu ambaye alichagiza mabadiliko ya sera kwa sura ya dhati, je heshima hii ni bubble balloon? Is he fake in out? why or why not? huyu jamaa anaamini nini kuhusu soasa za TZ?
Je huyu jamaa Slaa anawakilisha wanasiasa wengi TZ ama ni special case? Tunawaambia nini vijana wadogo wambao walishawishika na sera zake ambazo sasa nashindwa kuelewa ni aina ipi? ama ni chuki na watu ama mtu wala sio sera? au ni mapenzi na mtu wala sio sera na itikadi?
Nawasilisha, I just want to have insights of what this man is in terms of political understanding and his stand.
...kabla ujamtuhumu dr slaa ebu naomba unijibu mbowe na chadema kumuita lowasa na genge lake mabadiliko na kumkabizi chama mlimuamini katika wizi wake au njaa na tamaa ndo iliwapumbaza mkakiuka miko ya upinzani imara mkaleta kapiKageuka kuwa mchumia tumbo wa Hatari ?
..
...kabla ujamtuhumu dr slaa ebu naomba unijibu mbowe na chadema kumuita lowasa na genge lake mabadiliko na kumkabizi chama mlimuamini katika wizi wake au njaa na tamaa ndo iliwapumbaza mkakiuka miko ya upinzani imara mkaleta kapi
I can agree with your last sentence. Unaona mapambio yaliyopo sasa nchini yana base on a single person. Yawezekana Slaa aliona bila yeye upinzani ungepotea wote. Kumbuka alipoulizwa kurudisha kadi ya CCM alisema kadi ni property yake, ina maana alikuwa anacheza mchezo wa kuvizia.It is in the list of options, anaweza kuwa pia japo bado Napata taabu sana kujaribu kuelewa what was he for all that time, just to end up joining the same group and ideology that he lectured on its failures days and nights. What became of him?
Have we fallen into a trap of taking personal goals and objectives into the list of national goals and objectives?
On contrary nikimsoma kati ya mistari namuona akiwaeleza watawala jinsi wazungu wanavyoiona Tanzania kwa sasa, ya kwamba si salama tena. Kwa sababu watz sasa wamechoka kulalamika ndani kwa ndani, sasa wameamua kutoka nje kusudi dunia iujue uwelii. Hatuwezi kufa kijerumani na tai ati... Viongozi wenye upeo wangeyatazama maneno ya Dr. Slaa kwa engo tofauti.Huyu ni opportunist ambaye anaweza ku swing popote! Huwezi mlinganisha na mtu kama Mbatia ambaye hateteleki.