Slaa anaamini katika nini? Kipenzi mbeba maono, msaliti wa umma au maslahi binafsi?

Je ni Nani huyu Slaa?

  • Mbeba Maono

    Votes: 6 11.1%
  • Msaliti wa Umma

    Votes: 9 16.7%
  • Opportunist/Maslahi Binafisi

    Votes: 39 72.2%

  • Total voters
    54
  • Poll closed .

fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,452
3,065
Napata taabu kuelewa naomba msaada wenu, kuuliza si ujinga wakuu.

Hivi Slaa (Dr.) anaamini juu ya sera na itikadi gani? Maana alipokuwa CDM aliwasasha moto mkubwa kwa CCM, tena moto mkubwa haswaaaa. Aligombea Urais 2010 kupitia CDM hii ikimanisha haikuikubali CCM, Sera zake na itikadi yake, pia au hakumkubali JK.

Kwa vile 2015 alijiondoka chamani ilionesha pia hakumkubali EL, ni ni kweli alimtaja sana kama fisadi mkubwa na mtu asiyefaa.

Sasa yuko CCM alipo JK na EL kwa pamoja, pia kwenye sera na itikaidi ileile, contradiction!!!! am getting confused yaani CCM Enzi zile za 2005, 2010 hadi 2015 October alikuwa anapigania nini? na sasa anapigania nini?

Alihama CDM kwa vile EL aliingia CDM, yaani muda wote anapambana akiwa upinzani alipambana juu ya mtu? sio sera na itikadi? ila Slaa huyo huyo hahami CCM kwa EL kurejea CCM, nini kinamshikiria huko ambacho kilikosekana wakati EL anahamia CDM ili kumshikilia?

Namweshimu kwanza kama Padri pia mtu ambaye alichagiza mabadiliko ya sera kwa sura ya dhati, je heshima hii ni bubble balloon? Is he fake in out? why or why not? huyu jamaa anaamini nini kuhusu soasa za TZ?

Je huyu jamaa Slaa anawakilisha wanasiasa wengi TZ ama ni special case? Tunawaambia nini vijana wadogo wambao walishawishika na sera zake ambazo sasa nashindwa kuelewa ni aina ipi? ama ni chuki na watu ama mtu wala sio sera? au ni mapenzi na mtu wala sio sera na itikadi?

Nawasilisha, I just want to have insights of what this man is in terms of political understanding and his stand.
 
It is in the list of options, anaweza kuwa pia japo bado Napata taabu sana kujaribu kuelewa what was he for all that time, just to end up joining the same group and ideology that he lectured on its failures days and nights. What became of him?

Have we fallen into a trap of taking personal goals and objectives into the list of national goals and objectives?

Huyu ni opportunist ambaye anaweza ku swing popote! Huwezi mlinganisha na mtu kama Mbatia ambaye hateteleki.
 
Alikuwa upande wenu wala hamkumsikiliza, mwisho wa siku mlisaliti nguvu, kazi, kujitoa, (imagine alivunjwa mpaka mkono) na mwisho kabisa maono yake. Wasiokuwa upande wake wakamkumbuka. Mwisho wa siku unategemea ampende na kumtumikia nani? Use your brain bro
 
OOOOOooooh Kumbe ni suala la kupuuzwa maoni na maono yake na sio suala la sera na itikadi sahihi?

Alikuwa upande wenu wala hamkumsikiliza, mwisho wa siku mlisaliti nguvu, kazi, kujitoa, (imagine alivunjwa mpaka mkono) na mwisho kabisa maono yake. Wasiokuwa upande wake wakamkumbuka. Mwisho wa siku unategemea ampende na kumtumikia nani? Use your brain bro
 
He's the hypocrite hyena huyo mzee
Hyena-laughing.jpeg
 
Napata taabu kuelewa naomba msaada wenu, kuuliza si ujinga wakuu.

Hivi Slaa (Dr.) anaamini juu ya sera na itikadi gani? Maana alipokuwa CDM aliwasasha moto mkubwa kwa CCM, tena moto mkubwa haswaaaa. Aligombea Urais 2010 kupitia CDM hii ikimanisha haikuikubali CCM, Sera zake na itikadi yake, pia au hakumkubali JK.

Kwa vile 2015 alijiondoka chamani ilionesha pia hakumkubali EL, ni ni kweli alimtaja sana kama fisadi mkubwa na mtu asiyefaa.

Sasa yuko CCM alipo JK na EL kwa pamoja, pia kwenye sera na itikaidi ileile, contradiction!!!! am getting confused yaani CCM Enzi zile za 2005, 2010 hadi 2015 October alikuwa anapigania nini? na sasa anapigania nini?

Alihama CDM kwa vile EL aliingia CDM, yaani muda wote anapambana akiwa upinzani alipambana juu ya mtu? sio sera na itikadi? ila Slaa huyo huyo hahami CCM kwa EL kurejea CCM, nini kinamshikiria huko ambacho kilikosekana wakati EL anahamia CDM ili kumshikilia?

Namweshimu kwanza kama Padri pia mtu ambaye alichagiza mabadiliko ya sera kwa sura ya dhati, je heshima hii ni bubble balloon? Is he fake in out? why or why not? huyu jamaa anaamini nini kuhusu soasa za TZ?

Je huyu jamaa Slaa anawakilisha wanasiasa wengi TZ ama ni special case? Tunawaambia nini vijana wadogo wambao walishawishika na sera zake ambazo sasa nashindwa kuelewa ni aina ipi? ama ni chuki na watu ama mtu wala sio sera? au ni mapenzi na mtu wala sio sera na itikadi?

Nawasilisha, I just want to have insights of what this man is in terms of political understanding and his stand.
Kageuka kuwa mchumia tumbo wa Hatari ?
 
Unachanganya mada, ungeanzisha tu uzi kuhusu hilo suala lako, maana huu uzi unamwagazia slaa, maana kama EL ni mwizi labda wewe huna akili za kutosha, maana akili ya kawaida mwizi hufikishwa mahakamani, pia iwapo ishu ni ujio wa EL CDM mbona sasa haondoki CCM ambako EL kapiga ujio tena?

..

...kabla ujamtuhumu dr slaa ebu naomba unijibu mbowe na chadema kumuita lowasa na genge lake mabadiliko na kumkabizi chama mlimuamini katika wizi wake au njaa na tamaa ndo iliwapumbaza mkakiuka miko ya upinzani imara mkaleta kapi
 
It is in the list of options, anaweza kuwa pia japo bado Napata taabu sana kujaribu kuelewa what was he for all that time, just to end up joining the same group and ideology that he lectured on its failures days and nights. What became of him?

Have we fallen into a trap of taking personal goals and objectives into the list of national goals and objectives?
I can agree with your last sentence. Unaona mapambio yaliyopo sasa nchini yana base on a single person. Yawezekana Slaa aliona bila yeye upinzani ungepotea wote. Kumbuka alipoulizwa kurudisha kadi ya CCM alisema kadi ni property yake, ina maana alikuwa anacheza mchezo wa kuvizia.
 
Huyu ni opportunist ambaye anaweza ku swing popote! Huwezi mlinganisha na mtu kama Mbatia ambaye hateteleki.
On contrary nikimsoma kati ya mistari namuona akiwaeleza watawala jinsi wazungu wanavyoiona Tanzania kwa sasa, ya kwamba si salama tena. Kwa sababu watz sasa wamechoka kulalamika ndani kwa ndani, sasa wameamua kutoka nje kusudi dunia iujue uwelii. Hatuwezi kufa kijerumani na tai ati... Viongozi wenye upeo wangeyatazama maneno ya Dr. Slaa kwa engo tofauti.
 
Siwezi kusema kuwa Slaa anaongozwa na maslahi binafsi. Naamini anayo sincerity katika maongezi yake.

Kila mwanadamu anazo pande mbili, ili inayojulikana kwa wote na ile ambayo walio karibu wanaifahamu vyema.

Namuona kama mbeba maono ambaye kichwani yupo njema sana, anao uwezo wa kuzitafsiri na kuzitilia mkazo sera zinazomuongoza popote alipo. Alichezewa mchezo na kaka wa Hai, lakini malengo yake hayajawahi kuwa na unafiki wa wazi wazi.
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom