Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,718
Alafu Chadema wote mnafanana akili. Kama vile babu wa babu zenu alikuwa mmoja na alikufa kwa kifafa!
Lkini sasa kwenye TV ilionyesha akiwa Ruaha anahutubia kama watu 60 tu hivi. Sasa hapo imekaaje? Watu 60 minus watu wa CCM/CUF/NCCR=AB
Watu AB minus wasiojiandikisha=CD
Watu CD minus ambao hawatapiga kura siku hiyo=EF
Watu EF minus watakaoharibu kura=GH
Nikajiuliza, was it worth it to allow the prospective (president) to address a rally of such number of people?
On TV, people are interested with numbers, multitude of people attending rallies and this has got a big effect on who people will vote for in October.
What is wrong here?
MTAJI WA KURA WA CCM NI MASKINI WAJINGA ,wasomi wajinga na MAFISADI...........................................kuna kazi ngumu ya kuwaelimisha hasa maskini wajinga ....na kuwafunga mafisadi...ili kuleta ukombozi...
MTAJI wa kura wa wapinzani ni maskini werevu,na wasomi....bahati mbaya ni wachache....kazi ni kubwa!!
sasa sijui sijui wewe kanyafu ..upo kundi gani!!
kuongea kenyewe hawezi anajidai kuwachokoza akina Slaa atajuta
Huyo mwingine anaonekana anadesa.Tutafika kweliWakikaa pamoja, kuna mtu itabidi awe anasoma alichoandika February ahhh January Makamba.
Huyo mwingine anaonekana anadesa.Tutafika kweli
Juzi waliposema kwenye ufunguzi wa mkutano wa CHADEMA kulijaa ma-barmaids pamoja na wahuni wa mitaani, akili ilizunguka kwa haraka sana kujaribu kutafuta link ya ile maneno na situation ninayoijua. JF
Hiyo ni copy and paste ukiwapa mtihani wote wawili lazima a-copy hadi jina la mwenzie.... natamani mdahalo uwepo ili tujue yupi anachanganya na zamwenzake.....:becky::becky::becky:[/QUOTE]
jana TBC kwenye kipindi chao cha uchaguzi walikuwa wanawakata wagombea wa chadema kweliAlafu 2015 kuna haja ya kuanzisha television ya CHADEMA maana coverage sio ya kweli nilidhani Slaa yuko on leave kumbe anapasu anga MORO
jana TBC kwenye kipindi chao cha uchaguzi walikuwa wanawakata wagombea wa chadema kweli
lakini waliwapa mda mwingi sana wagombea wa ccm
walimpa yule mzee {malecela} mda mwingi kweli, mimi nilimuonea huruma yule mzee kwa ajili alikuwa anatumia nguvu/jitutumua kuongea halafu watu hawamwitikiii, yaani anaonekana mtu ambaye anajilazimisha siasa. mimi ningekuwa mtu wake wa karibu ningemwambia aachane na siasa atumie mda wake mwingi kufanya mazoezi ya kutembea pale dengu beach
Alafu waliyekwenda kumuangalia Jangwani akaanguka kifafa.Mliokota wahuni mitaani kwa kuwapa buku 5 tano ili waende jangwani kumsikiliza JK hii mbona ipo wazi mbona wengine wametoana negu kwa kukosa mgao huo wa Makamba
Nao tunawapiga chini. Hatufungui tena tv zetu kuwaangalia. Hata hivyo toka walipotoka ch5 naona kwishney maana hawana jipyaWatu walijazana kuwaona ze commedy tu siyo pumba za babu yetu Mbuyu pale Iringa. Halafu nimeshangaa ze commedy kujiingiza kwenye kampeni za CCM kiasi kile !!!