Henge
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 6,933
- 1,510
rev masanilo nishakula ndovu sijui kama nitaweza kuweka msisitizo niotaka. Kinana kakiri kuwa meli iliyokamatwa china ikiwa na meno ya tembo kutoka tanzania, ni mali yake kwa kumiliki hisa 7,500 kati ya hisa 10,000 za maeli hiyo. Sasa ni kwanini tuansumbuliwa kichwa na huyu mtekaji meli wa kisomali?
Watanzania kibao wako keko, segerea na ukonga kwa kukutwa na mali za wizi majumbani, ofisini katika magari n.k. Iweje majeshi ya kimataifa yakute mali ya iliyoibiwa tanzania katika meli ya ndg kinana na jeshi letu la polisi lshindwe kuchukua hatua za kufaa za kumuunganisha katika kesi hiyo kama wanayowafanyia watanzania wanokutwa na mali za wizi? Iweje huyu kikbaka wa kisomali aliyekutwa na nyara za tanzania alipopanga asihusishwe katika kesi hiyo? Hivi mwema kaenda likizo kipindi hiki nini?
unajua mengine msiseme tunaumia kweli, kama ni hivyo ccm mkamateni slaa na woote wanaowachafua wakajibu mashitaka! Hamuwezi uwizi wenu msipeleke kwenye kura tuchague raisi wetu wenyewe!!