Losomich
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 371
- 71
Who is Slaa?
Mwenye macho haambiwi tizama. Lakini kwa kuwa laana ya kula na kuinjoy pesa za mafisadi imekupovusha akili yako nikuzaidie tu kuwa ''Slaa ni Public figure.'' Post swali lingine kama unalo.
Who is Slaa?
Ok..thanx kwa jibu zuri!Mwenye macho haambiwi tizama. Lakini kwa kuwa laana ya kula na kuinjoy pesa za mafisadi imekupovusha akili yako nikuzaidie tu kuwa ''Slaa ni Public figure.'' Post swali lingine kama unalo.
Who is Slaa?
mkuu uliemwelewe weka tarifa kamili mkuu hotuba hajaisoma baada kukatishwakatishwa na wanatunduma weka hotuba ya makam aliyoisomandg yangu usipende kutoa talifa kwa kupotosha umma wa watanzania kuwa tunduma wanamu
hitaji nani kakuambia?tatizo we ni mvivu wa kufuatilia habari mi nipo tunduma na makamu wa raisi amehutubia sema hukumwelewa kuna mambo ya msingi kayazungumza tumemshangilia pia alipongea ujinga tumemzomea.tatizo ni kuwa ccm hawatakiwi.
Who is Slaa?
Who is Slaa?
Who is Slaa?
kwani mbeya napo sio tz !rais mbadala we unajua
rais yuko botuswana makam mbeya anaye ongoza inchi nani
Umeamua kutukusanya kwa mawazo yako yasiyo na Chanzo e?
Nadhani ungetoa maoni kuwa Dr Angeenda Ziara Tunduma ikiwa ni ile operation yetu Sangara
rais mbadala we unajua
rais yuko botuswana makam mbeya anaye ongoza inchi nani
Nyie ndio mnaompa mzee wa watu stress. Hapo alipo yupo frustrated cuz alifikiri na still anawaza kuwa yeye ndiye angestahili kuwa rais. Hawazi kuwa kwenye uchaguzi kuna kushinda na kushindwa.slaa is a president elected by people for the people while xyz... is a nec presida
shemeji yetu wa zamani,au umetupa jongoo na mti wake???
Shemeji...baba mdogo..dah!!Baba mdogo wa taifa