mkuu hao bruhm sidhani.hata kama website wanayo, hao skyworth kidogo wapo online lakini hata nao sina imani nao.
tv nunua samsung au lg ukikosa tafuta brand kubwa nyengine kama sony, sharp etc
kama budget ndogo na unataka mchina nunua TCL, bei zao ni ndogo kama wachina wengine na wana smart tv za roku, pia wapo Tanzania incase kuna matengenezo au tatizo. ni brand kubwa ipo duniani kote.