Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,484
Tupo mamii namalizia soda yangu nianze kuuliza maswaliUdugu wangu emmyta shunie linamo cab ney sakayo mbon simioni huku
Tupo mamii namalizia soda yangu nianze kuuliza maswaliUdugu wangu emmyta shunie linamo cab ney sakayo mbon simioni huku
Wanao wanakuchukuliaje?Ninatumia sana mawasiliano kuongea na kuadhibu watoto, siamini physical punishment. Kabla ya kupika ninawauliza wanataka kula nini na chakula kikiiva asiyemalizacsahani inabidi aseme ni kwanini kwasababu nimefika alichotaka kula
Unanifanyia interview ndani ya interview ya Sky mkuu?Kwaio ww ni KE??



Ww ni KE??Shikamoo aunt
Shem ushanichoka aiseeeePale unapotaka usipitweee na replay....![]()

Kuwa karibu na mwanao na uhakikishe unafahamu kila anachofanya kwenye simu au tablet hatavpc yakeKwenye suala la malezi ya watoto unawaasa nini wazazi hasa katika kipindi hiki ambapo tupo kwenye utandawazi??
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Ni vizuri.Kwasababu wamekuja baadae sana kwakweli sina maisha mengine zaidi ya kazi na watoto hivyo nisipokuwa kazini nitakuwa nao
Mama angu acha kutafute wanaume kwa nguvu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mtoto mzuriiiiiij in the house
Naona shoga zako leo hawakukuita![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hapana aseeUnanifanyia interview ndani ya interview ya Sky mkuu?![]()
Shunie siku ya interview ya ukhuty uniite mapema leo nimechelewa interview ya aunt
Sent using Jamii Forums mobile app



mie nitafanyiwa interview pm

sio hukuMama angu acha kutafute wanaume kwa nguvu
Weekend tunakwenda kwenye activities wana bahati sisi hat ukipata chance ya kujifunza vitu kama gitaa au kupiga piano katika ujamaa wa NyerereWanao wanakuchukuliaje?
Je unapata muda mzuri wa kuwa karibu nao na kutambua vipaji vyao?
Unawaona wapi baadae?
Karibu mtanangeniNimekuja swahiba
Na ww unafatwa PM???mie nitafanyiwa interview pm
sio huku
Wananiambia kila kitu hawanifichi ingawa wakikosea tone inabadilika lakini nimewalea wasiniogopeNi vizuri.
Kipi kinakufanya ujione wewe ni mama bora wa watoto wako???
Asante baby kwakunipa moyo.Baby achana nae huyu
Dada Sky, unaweza kutueleza sababu ya wewe kumtumia/kuitumia Picha ya Oprah kama Icon/Avatar katika profile yako....!?
Huyu Mama ni mwenye kujituma sana (yawezekana mnafanana)
Sina hakika kama anae Mwenza na Watoto....!!
Ni mama mwenye historia ya kubakwa (alipokuwa bado msichana)
Ndie mwanamke mweusi tajiri duniani...!!
Je unaweza kutuaminisha ama kutujuza, wewe nae unapitia ndoto za Mwanamke huyu kuyafikia Malengo yako...!?
Sent using Jamii Forums mobile app