Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Unaonaje nafasi ya wanawake wa Tanzania katika ngazi mbalimbali za kutoa maamuzi hapa nchini??

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Sky Eclat unawaambiaje vijana wanaoamini kupata mafanikio kwa njia za mkato??

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Unasalimiwa na blaza ake Linamo
img-20170712-wa0030-jpg.540574
Mmmh babu Asprin bwana
 
Unaonaje nafasi ya wanawake wa Tanzania katika ngazi mbalimbali za kutoa maamuzi hapa nchini??

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Sasa ww ni ME alafu mambo za KE

UNANIPA MASHAKA

HIVI WW NI KE??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom