Skin jeans habari ya mjini

Lamchina

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
240
Reaction score
120
Wajameni mambo yanabadilika kila kukicha Technologia ya uvaaji nguo inakua kwa kasi sana siku hizi duniani, ukijaribu kuangalia miaka ya 70, 80,90 na sasa naamini utakubaliana na mimi kuwa ndani ya kila miaka kumi mabadiliko yanakuwepo makubwa sana.

Tatizo linakuja kuwa mavazi ya akina mama ndo yakuja kwa FASHENI mpya kila kukicha mbaya zaidi kila improvement inayokuja kwenye inaendelea kuwapelekea kuwa UCHI.

Kwa upande wa akina baba maboresho yapo lakini kwa kiasi fulani haiwaachi uch** sana ukiachilia mbali style ya Kata-K.

Kwa sasa Skin Jeans ndo habari ya mjini kila kona, tumeacha underwear zile ndefu kama sketi, tukaja na skin tight iliyokuwa ikivaliwa ndania gauni au suruali, sasa mchepuko wa kileo ni Skin Jeans ambayo huvaliwa nje nje..... Tena zingine inabidi usivae chu**p maana huweza kuakisi hata rangi yake kwa jinsi ilivyobana mwili.

Sasa wadau swalia langu ni tunaelekea wapi na hii teknologia MPYA ya uvaaaji, WHERE ARE WE HEADING TO?
 
Ushasema fasheni zinazokuja zinawapelekea kuwa uchi....!!! Halafu unauliza tunaelekea wapi wakati hilo ndilo jibu, tutegemee siku za usoni kukutana na watu wamepiga boxer na g-string kwa shumizi mitaani

Maadili yalishatoweka na maadili ndiyo yalikuwa yanalinda tamaduni zetu, sasa hivi hata makabila nao yanaelekea ukingoni!! Kama unabisha tafuta idadi ya vijana kumi then waulize wanaojua kuongea kilugha cha kabila la kwao atakuwa then utaniambia kama hatakuwa mmoja basi ni wawili!!
 
Hiyo 'V' ya Rihana haina mvuto, angeificha tu!
Aje kitaa aone 'V' za kufa mtu,mwanaume ukiiona udenda debe!
Kitu kimeshiba,kimetuna utadhani kimewekwa hamira na kinakaribia kuchana pi.chu!
 
Mmmh! Sa wengine hapa umbo no 7 afu mkatuvalishe sketi kweli? Wacha tuvae bana tustill namba zetu!!
 
bora hata hizo Skin jeans, kuna hivi vi-tight vya kulalia vinaishia baada ya magoti, unakuta mtu anazurura nacho mtaani...sijui tunaenda wapi??
 
Tungepata viongozi waothubutu kama Yoweri Mseveni na wengine wakaweka sheria against uuvaji wa holelaholela nafikiri Maadili, heshima, Makunzi etc. yangerudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…