Skimming ya Cement Vs White Cement

Skimming ya Cement Vs White Cement

White Cement hutumika nje
Gypsam powder Ndani ya nyumba

Ova
White cement ni multipurpose mkuu lakin inauwezo wa kutumika ndan na nje japo yenyewe ni special kwa matumiz ya nje lakin gysum powder inatumika ndan tu pia white cement ukiitumia ndan ni ukuta tu lakin kwenye board unatumia gypsum powder white cement ni nzur zaid nje na ndan maana inakaa vizur kuliko gypsum powder Ila unashauriwa kutototumia gypsum powder kwenye plasta iliyorough Sana maana mifuko itaenda ming Sana hapo tiba ni white cement hyo gypsum powder haitumik nje kwasababu inaathiriwa na unyevunyevu
 
Mkuu wewe unaujuz hizo rangi zinaitwa washware kwa maana unauwezo wa kuzisafika zikichafuka
 
Hyo ni fungus mkuu maana yake sehemu ilipo nyumba yako kuna asil.ya Maj hivyo kuna unyevunyevu lakin pia yawezekana kuna vitu havikuzingatiwa vizur na fund mason ikiwemo kuweka kalatas ya water proof kwenye msing na kuzingatia ratio nzur ya cement kwenye plasta nipe kaz tatizo linatibika
 
Pia mnapojenga zingatieni sana katia foundation kuweka sehemu za muta hewa.nyumba inatakiwa kupumua.hii huepusha mpasuka na mambo engine yanayotokana na hayo
 
Hapo ninaomba ufafanuzi maana mi Nina tatizo nyumba yangu imepata fungus kwenye ukuta kwa ndani nusu ukuta na nje nayo rangi na cement inamomonyoka, sijui tatizo Ni Nini?
Fungus! kwangua skim na white cement paka rangi ya wheather guard.
 
ni kweli ndani kasema gypsum powder kama kawaida ila nje ndio anasema cement ya kawaida pamoja na rangi nyeupe na waterproof.
Usikubali! Nje changanya white cement na rangi nyeupe kwenye skim then paka rangi ya wheather guard
 
White cement ni multipurpose mkuu unaweza kuitumia kuskim nje au ndan japo imetengenezwa kwa ajil ya matumiz ya nje maana ni water proof ,lakin gysum powder inatumika ndan tu Ila Kama plaster ya ndan ni rough Sana maana yake mifuko ya gysum powder itaenda ming Sana unaweza kutumia white cement kusave cost Lakin pia white cement inanyoosha vizur Sana ukuta na iko imara Mimi ni fund hilo suala la fangas naweza kukushaur cha kufanya wasup or call 0757735884

Mkuu sorry nikutoe nje kidogo ya mada.. vipi nikitaka kutumia hizi material kama drewa badala ya rangi za kawaida kwa kuta za nje. Je, nazo zinaathirika na magadi?
 
Mambo ya ujenzi fulu vurugu akina fundi juma kibao kila mmoja na alikosomea na utaalamu wake
 
Hizo ndo rahis zaid kuathirika maana ni material yanayoitaj maandaliz saf ya ukuta lakin pia uimara wa drewa inatakiwa itumike kwenye nyumba yenye plasta tu ,ukiitumia kwenye ukuta uliskimiwa tayar inakuwa inateleza ko unaua bond yake japo itakaaa,lakin ukitaka idumu itumie kwenye plasta tupu ili gund yake ishikamane vizur na ukuta
 
Fungus husababishwa na unyevu,udhibiti wa unyevu huanzia kwenye msingi WEKA KARATASI kuzunguka msingi (Dump Proof Course-DPM) & Dump Proof Membrane DPM eneo lote la Hardcore)

Kwenye eneo ambalo hupokea unyevu sana (jikoni/washroom) tumia tiles.

Maeneo mengine tumia White Cement+emulsion paint kuskim then apply rangi ya slik ndani/weather guard nje .

Sehemu iliyoathiriwa sana na fungus ,kwangua plasta kidogo ,piga plasta mpya Kwa kutumia cement na water proof kidogo kisha skim kwa white cement ,baada ya kuskim piga msasa vizuri ,kisha apply emulsion paint kukata vumbi la msasa then paka rangi Yako .
 
Mkuu tumia White cement ni waterproof yani hainyoni maji maji na unyevu unvyevunyevu, ukuitumia cement tupu itakuingizia unyevunyevu hapo badae inaeza kuganduka na kuweka fangasi.

White cement na ukapaka rangi ile ya kusafisha na maji ni bora zaidi ukuta ukichafuka unaweza kuusafisha na tambala la sabuni maisha rahisi kiasi kbs.

Subiri Wataalamu zaidi waje
Rangi Za Kusafisha Na Maji Ni Kama Zipi Hizo??
 
Fungus husababishwa na unyevu,udhibiti wa unyevu huanzia kwenye msingi WEKA KARATASI kuzunguka msingi (Dump Proof Course-DPM) & Dump Proof Membrane DPM eneo lote la Hardcore)

Kwenye eneo ambalo hupokea unyevu sana (jikoni/washroom) tumia tiles.

Maeneo mengine tumia White Cement+emulsion paint kuskim then apply rangi ya slik ndani/weather guard nje .

Sehemu iliyoathiriwa sana na fungus ,kwangua plasta kidogo ,piga plasta mpya Kwa kutumia cement na water proof kidogo kisha skim kwa white cement ,baada ya kuskim piga msasa vizuri ,kisha apply emulsion paint kukata vumbi la msasa then paka rangi Yako .
Comment imeshiba hii
 
Back
Top Bottom