Skimming ya Cement Vs White Cement

Skimming ya Cement Vs White Cement

ndio hapo mvutano ulipokuja kati yangu na fundi. fundi yeye anasema white cement inakuja kuvimba baadae, ndio anashauri cement ya kawaida. hapo ndo natatizika
Huyo sio fundi bali ni kishoka!! Cement ya kawaida inatumika kupiga plasta tu, baada ya hapo kwenye skimming, kwa nje inatumika white cement pamoja na rangi nyeupe ya maji, kwa ndani unatumia gypsum powder inachanganywa na rangi ya maji!! Ukikosea ukatumia gypsum kwa nje ikapigwa maji utajutaaa!!!
 
ni kweli ndani kasema gypsum powder kama kawaida ila nje ndio anasema cement ya kawaida pamoja na rangi nyeupe na waterproof.
 
Fundi yupo sahihi kutegemeana na mazingira. Mimi ukuta umevimba japo white cement ndio ilitumika. Leo hii ndio nimeanza kuukwangua ili ipigwe plasta upya.
Kama eneo ulipojenga kuna watu wanalalamika kuhusu fangus basi msikilize fundi
 
Hapo ninaomba ufafanuzi maana mi Nina tatizo nyumba yangu imepata fungus kwenye ukuta kwa ndani nusu ukuta na nje nayo rangi na cement inamomonyoka, sijui tatizo Ni Nini?
Itakua haukutofautisha rangi mbili nimesahau kitaalamu inaitwaje ila kimsingi ulitakiwa kupaka rangi nyeusi kwa chini kama mstari wa plimsoll line wa kwenye meli halafu unakuja kupaka rangi yako au vyovyote itakavyoanza utaratibu ndo hui
 
unazungumzia rangi nyeusi ya scarting (butemen)?
 
Fundi yupo sahihi kutegemeana na mazingira. Mimi ukuta umevimba japo white cement ndio ilitumika. Leo hii ndio nimeanza kuukwangua ili ipigwe plasta upya.
Kama eneo ulipojenga kuna watu wanalalamika kuhusu fangus basi msikilize fundi
View attachment 1500418
ukuta umevimba baada ya muda gani mkuu.unadhani sababu itakuwa imeletwa na nini
 
Mimi sio fundi lakin kwa nje, white cement tu. Nimeweka home mwaka wa pili sasa kama sikosei na hakuna uvimbe wala nini.
119642870.jpg

Hio picha ni Swimming pool imetengezwa kwa white cement.
 
ukuta umevimba baada ya muda gani mkuu.unadhani sababu itakuwa imeletwa na nini
Inasemekana mchanga wa huku kwetu (Green city) una magadi, hata ufanyaje miezi sita mingi. Nataka nijaribishe saruji badala ya white cement. Wenye uwezo wao wanapiga marumaru ukuta wa nje japo sijui kama inasaidia
 
magadi ni shida sana asee. huenda saruji ikakupa matokeo tofauti
 
Eeeh hio hio mkuu jina lilinitoka
Mkuu huku kwetu tumefanya kila mbwembwe lakini tumesanda.
Nyumba nilizo karabati mwaka jana mwezi wa kumi nimekuta zimevimba ndani na nje, ukigusa ukuta gamba la rangi na mchanga vinamwagika chini.
 
magadi ni shida sana asee. huenda saruji ikakupa matokeo tofauti
Hiyo shughuli nimeianza leo, sijui hatma yake. Fundi kanishauri saruji itumike nje na white cement ndani maana gypsum imekuwa ikivimba kwa muda mfupi sana.
 
ni kweli ndani kasema gypsum powder kama kawaida ila nje ndio anasema cement ya kawaida pamoja na rangi nyeupe na waterproof.

kwa nilichoona fundi wako hajui tofauti ya white cement na gypsum pawder

fuata kama ulivyoelezwa hapa. tumia gypsum pawder ndani na W-Cement nje.

kwa akili ya kawaida ww unadhani cement ya kawaida ataiwekaje nje??? atapiga kama Nill ya sakafu, na je rangi gani itashika hapo,
 
unadhani cement ya kawaida ataiwekaje nje??? atapiga kama Nill ya sakafu, na je rangi gani itashika hapo,

mkuu hofu yangu ni kama yako hapo kwenye rangi kushika kwenye Nill, nina wasiwasi itakuja kujitenga na ukuta tu
 
Lakin mnazingatia kuweka nairon baada ya mkanda wa chini ambayo inasaidia kuzuia fungus wanaotokana na unyevunyevu
 
Hapo ninaomba ufafanuzi maana mi Nina tatizo nyumba yangu imepata fungus kwenye ukuta kwa ndani nusu ukuta na nje nayo rangi na cement inamomonyoka, sijui tatizo Ni Nini?
White cement ni multipurpose mkuu unaweza kuitumia kuskim nje au ndan japo imetengenezwa kwa ajil ya matumiz ya nje maana ni water proof ,lakin gysum powder inatumika ndan tu Ila Kama plaster ya ndan ni rough Sana maana yake mifuko ya gysum powder itaenda ming Sana unaweza kutumia white cement kusave cost Lakin pia white cement inanyoosha vizur Sana ukuta na iko imara Mimi ni fund hilo suala la fangas naweza kukushaur cha kufanya wasup or call 0757735884
 
Rangi itashika lakin baada ya mda itabanduka ,kupaka rangi kwenye nilu hairuhusiw nilu ni sawa na chokaa ndo maana hata nyumba ikipigwa chokaa Kama unataka kupaka rangi lazima iskimiwe huwez kufanya finishing kwenye chokaa rangi haitadumu ila nyumba iliyopakwa chokaa inafaida moja tu kuwa material hayataenda mengi kwahiyo utasave cost lakin issue ya uimara wa rangi kudumu kat ya nyumba iliyopigwa chokaa na kuskimiwa then rangi haiwez kuwa imara Kama nyumba iliyokuwa imepigwa plasta then ikaskimiwa na kupakwa rang
mkuu hofu yangu ni kama yako hapo kwenye rangi kushika kwenye Nill, nina wasiwasi itakuja kujitenga na ukuta tu
 
Hapo ninaomba ufafanuzi maana mi Nina tatizo nyumba yangu imepata fungus kwenye ukuta kwa ndani nusu ukuta na nje nayo rangi na cement inamomonyoka, sijui tatizo Ni Nini?
Inawezekana umejenga sehemu yenye chemichemi chiini?
 
Back
Top Bottom