makubwa! Leo hii amekuwa mwizi? Kilichokuwa kinawafanya mseme ni mzalendo na kiongozi bora ajaye wa tz enzi za migogoro CHADEMA ni kitu gani,kama sio ushen*zi wenu na unafiki wenu lumumba B7,ukiwemo wewe,Lizaboni,Fazafoxy,Thatha,mjepo,Ritz,msalani nk.
Pinda anatumiwa.. but this time ataishia jela, na itakua recordZitto mwizi sana utakuja kusikia kuwa yeye ndiye mhusika mkuu halafu atakimbilia kwa mengi wapakazie wengine.
Zitto mwizi sana utakuja kusikia kuwa yeye ndiye mhusika mkuu halafu atakimbilia kwa mengi wapakazie wengine.
Hiyo hoja wamempa makusudi huyo mama ili waizuie.Heeh mkuu Shondola huyu Asumpta apeleke hoja binafsi ni yuleyule Mtetezi wa Escroo au mwingne???
waziri MKUU MIZENGO PINDA UNA ROHO MBAYA KAMA HIYO SURA YAKO
ETI HUKU UNAJIITA NI MTOTO WA KUMLIMA KUMBE NDIE JIZI KUBWA WEE SURA MBAYA
UMESALIMIKA KWENYE ESCROW
HII YA SUKARI HAIKUACHI SALAMA HII
ETI ANATAKA KUWA RAIS WA NCHI HII...
THUBUTUUU...!!
Zitto mwizi sana utakuja kusikia kuwa yeye ndiye mhusika mkuu halafu atakimbilia kwa mengi wapakazie wengine.
hujuagi hata vijembe mkuu?
ndo maana kumbe sukari imepanda bei hadi 2500,kumbe na huko wameiba sukari pia?
mleta mada una uwezo mkubwa sana ya kucheza na akili za wajinga(BAVICHA) ONA JINSI WANAVYOHEMKWA..
ingawa ulichopost ni majungu na mbwembwe za kiuandishi, umewaweza kwa kuambatanisha na mistari michache yenye ukweli.. hivi unajua kanuni ya FREEMASONS!! INASEMA ''thesis + ant-thesis= synthesis ''' au kwa maneno mengine ni kwamba ''UONGO MWINGI +UKWELI KIDOOOOGO=UONGO WOOOTE.
HAHAHAHAAAAA BAVICHA kweli vichwa maji
Hivi hata skendo ya sukari Mengi anahusika wewe "Kiboko ya Mengi"?Zitto mwizi sana utakuja kusikia kuwa yeye ndiye mhusika mkuu halafu atakimbilia kwa mengi wapakazie wengine.
Unaongea kimwehumwehu sidhani kama zimetimia kumkichwa wewe.