SKENDO: Sarah ambwaga Harmonize, sasa mapenzi motomoto na Mwarabu Fighter

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,464
21,194
Kwa habari za chini ya kapeti ni kwamba yule mzungu wa Harmonize (Konde boy) Sarah kwa sasa haambiwi wala hasikii kitu kuhusu mwarabu fighter yaani anampenda mpaka kapitiliza ,zile pesa alizokuwa ana muhonga Harmonize kwa sasa kwa kiasi kikubwa amezihamishia kwa mwarabu fighter na gharama za gym kwa kiasi kikubwa yeye ndiye anazisimamia.

Sarah amepunguza mapenzi kwa kiasi kikubwa na Harmonize kilichobaki anahangaikia tu penzi la mwarabu fighter ili aweze kutuliza roho yake.

Kitu ambacho mpaka sasa kinachofanya ugumu wa couple hiyo kusimama ni kutokana na Harmonize kuwa mtu wa karibu saana na Diamond Platnumz ambaye pia ndiye anayemuweka mjini mwarabu fighter na siku zote ukitaka kumkwaza Diamond au ukitaka kumkwaza Harmonize basi mtu amkwaze mmoja wapo yani Diamond wanapendana sana kama mtu na kaka yake.

Kwa hiyo mwarabu fighter anaogopa kibarua kuota nyasi kama akifanikiwa kumpindua Harmonize .

Sema naye huyu binti amezidi umalaya kwa kweli duuh anagawa utamu si mchezo.
 
Mambo ni motooooooo
IMG_20180506_015554_512.jpg
 
ila hiyo heading inapoteza hamu ya kuingia kwenye habari, hilo neno ulilolikosea ndio key ya habari yako yote. na nilivosikia mwarabu fighter nikazani kapata ISIS kutoka syria, mwe!
 
Kwa habari za chini ya kapeti ni kwamba yule mzungu wa Harmonize (Konde boy) Sarah kwa sasa haambiwi wala hasikii kitu kuhusu mwarabu fighter yaani anampenda mpaka kapitiliza ,zile pesa alizokuwa ana muhonga Harmonize kwa sasa kwa kiasi kikubwa amezihamishia kwa mwarabu fighter na gharama za gym kwa kiasi kikubwa yeye ndiye anazisimamia.

Sarah amepunguza mapenzi kwa kiasi kikubwa na Harmonize kilichobaki anahangaikia tu penzi la mwarabu fighter ili aweze kutuliza roho yake.

Kitu ambacho mpaka sasa kinachofanya ugumu wa couple hiyo kusimama ni kutokana na Harmonize kuwa mtu wa karibu saana na Diamond Platnumz ambaye pia ndiye anayemuweka mjini mwarabu fighter na siku zote ukitaka kumkwaza Diamond au ukitaka kumkwaza Harmonize basi mtu amkwaze mmoja wapo yani Diamond wanapendana sana kama mtu na kaka yake.

Kwa hiyo mwarabu fighter anaogopa kibarua kuota nyasi kama akifanikiwa kumpindua Harmonize .

Sema naye huyu binti amezidi umalaya kwa kweli duuh anagawa utamu si mchezo.
Ubuyu mpya Usipomumunya Unawashwaga eti ? Mwanaume sku hiz umkua mshubwada ka Dada zko
 
Back
Top Bottom