copernicucci98
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 1,232
- 2,384
Habarini.
Subject inajieleza. Kwa mafundi tiles na wale wabobezi wa masuala ya 'tiles'.. napenda kufahamu yafuatayo;
1. Faida na hasara za kutumia 'skating' za mbao badala ya kutumia zile zinazouzwa madukani pamoja na 'tiles'
2. Mbao nzuri kwa matumizi ya 'skating'.. nimeambiwa 'mtaani kwetu' kuwa nyingine zikipata maji zinavimba.
3. Dimensions za 'skating' zake ie depth and width
Natanguliza samahani kama uandishi utakuwa haujakaa sawa kwasababu hii ni 'thread' yangu ya kwanza jf.
Asanteni
NB: Picha itafuata baadaye