Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

Sizonje hatunaye tena. Ulimuonya hakusikia.
 
Mkuu ya Kweli haya??
 
Mnh......
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila haya maisha, Sizonje aliisaka sana roho yangu kisa huu uzi... kafa kauacha!
Angeamua asingekukosa, you were just paranoid.
 
Manyunyu yaliyodondoka leo si mchezo..

Wingu limetanda, mvua kali za mafuriko kutarajiwa... ya Sizonje yamepita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…