Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

sizonje,naona wachezaji hawakabi wala kushambulia,mmoja yule kule kalala chali,mwingine yule kipa,hapigi mpira mbele,kakalia kupiga danadana tu,mwingine yule beki anaenda kubadili bukta,aliyonayo imechanika kwa nyuma,bora ulimwambia IGP asimamishe mpira kwanza,hawa ukawa wanashambulia sana,na nina hisi wana njumu za chuma,wachezaji wetu kila wakiwakaba wanaumia
 
Sizonjeee uyuoooo anakwenda na mpira ...anampiga chenga matata vasco ..huku winga wa timu maembee akiambilia kanzu ..huyoooo huyooo sizonje katuliza kwenye upara ......kampiga kanzu eduardo ndani ya kumi na nane kaachia shuti matata sana na inakuwa ni gooooooooooooooli ayaaa kapaisha
 
Hata mkiimba nyimbo gani MTU wenu asahau kwenda Ikulu kabisaaaa!
 
Ndugu msikilizaji nilikosea kumbe ndo kwanza mpira upo katikati ya dimba tunasubiri kocha sizonje afanye mabadiliko mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…