Mi mwenyewe sio mpenzi wa hizi simu.. But they are so nice in proffessional world,, zinarahisisha sana e mails communications bila effect ya battery like samsung,, I have galaxy s2 yaan ukiwa online mda mwing battery inaisha haraka than BB... Ndo maana ofis nyingi zinanawapa wafanyakaz BB as ndo zina match na business world kujua kinachoendelea ofisin online hata kama upo busy na mishe nyingine..