Siyo Siri TIGO wanazingua sana.

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,202
Kiukweli huu mtandao wa Tigo wanazingua sana kwenye huduma zao asee.

Tangu jana nimenunua luku na hela wamekata lakini mpaka sasa Token zangu sijatumiwa .

Ukiwapigia simu ,simu inaiita muda mrefu sana wakipokea jibu lao ni moja tu huduma yako inashughulikiwa ,.

Kama kuna tatizo kwenye huduma husika kwa nini wasitoe taarifa mapema watu tujue kuliko huo usumbufu.

Huduma gani inashughulikiwa masaa zaidi ya 24 ifikie kipindi sasa tusifanyiane huduma kwa mazoea.
 
Ndio maana wakaitwa Tigo
 
Tigo ukikwangua vocha hata kabla hujaiingza wanakuambia "asante kwa kulipa deni lako" hii inaonesha ni kwa kiasi gani wanamezea mate wakikuona umenunua vocha, na ole wako ununue haraf uweke mfukoni ukutane na vile vidada vinaenda kazini uone vitakavyo kununia. Blv me plz
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…