Ibada ya kwanza
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 3,282
- 1,810
Chadema kama taasisi imepata jeraha kubwa. Jeraha hili linahitaji tiba madhubuti ili lisikigharimu chama. Maana viongozi waliopo ACT wanajua siri zote za chadema. Walikuwa wanashiriki vikao vya ndani kabisa vya chama. Ni sawa na kuachana na mke/mume. Hakuna wa kujivuna. Bali akili lazima itulie ili kuendelea na maisha mapya. Na usipo kaa vema utaishia kunywa pombe au kufanya ukahaba kwa kuchanganyikiwa.
Na ndiyo maana kwa mnaofuatilia kinachoendelea ukumbi wa Diamond Jubilee. Kuna mwanadada muigizaji alipotupa dogo linaloilenga chadema ukumbi mzima ulilipuka kwa shangwe. Nitanikuu "kumpiga chura teke ni kumpunguzia safari".
Ni kweli ndio maana wanaipeleka puta ccm angalia na chadema wasipelekwe puta na ACT maana hali ilivyo vyama vya upinzani bada la ya kuwa marafiki sasa ni maadui
Ati wanajidai wako makini!
Hawajui siasa ni kuvumiliana kwa lengo kubwa zaidi, CCM pamoja na madudu ya Lowassa inaishia kutoa natamko tu lakini hawawezi kumtimua.
Hiyo ndo siasa.
Siyo siri, wamejeruhiwa.
Kila uchwao Chadema Ina Wanachama Wapya 20 Hivyo Ukitoka wewe sio Pengo tu! Hakuna Hata Mwanya mkuu Na Chadema Inazidi kuneemeka Napia nikama Unaamka Asubuh na Kufanya Usaf ndani Zile Takataka ndo nyinyi Wasaliti Tunaenda Kuwamwaga Jalalani.... Jalala nadhani unalijua nalenyewe likijaa zinahamishiwa Jalala Kuuu Hilo Pia Unalijua.
Inategemea huyo chura anaangukia wapi aweza kuangukia pua.
Huyu chura wala hata hafai aende zake tu hana maana
Alipoondoka Kafurila ndio CDM kikapata wabunge na Madiwani wengi. Na Ameondoka Msaliti Tumepata vitongoji na Wenyeviti wa Mtaa wengi. Cdm ni Dume.
Ni mchubuko siyo jeraha, hakuna siri katika chama zaidi ya yale yaliyomo kwenye katiba ambayo kila mtu husoma, huwezi ukawazuia bendera fuata upepo kutoka ndani ya chama kwenda chama kingine wakifuata maslahi yao, kila siku tunatangaziwa watu wanarudisha kadi za CHADEMA lakini chama kinazidi kukua. Ilikuwa ni wakati muafaka kwa ZZK kufukuzwa ndani ya Chama kuondoka kwake ni siyo jeraha bali ni kamchubuko tuuu
mambo haya yakutane na wenye akili, lakini wenye upeo mdogo ni shida. mpaka sasa CHADEMA hakijui kina wanachama wangapi.ACT-WAZALENDO, hakipo kupunguza chamachochote bali kuleta tumaini jipya kwa watanzania.
Kwa taarifa yako wanaojiunga cdm ni wengi kuliko wanaotoka cdm.watz wote wanaojitambua wanakimbilia cdm+ ukawaKwa vyovyote vile chadema wamepoteza kura nyingi sana maana watu wengi wanaojiunga ACT wanatoka chadema.
chadema mnajua kujifariji mpaka raha maana kumeza ukweli ni ngumu.
ACT fanyeni juhudi za kuichukua Kigoma YOTE. CDM maeneo yao yatatwaliwa na mgawanyiko huo. CDM ni chama cha Wachaga pekee. Ni chama cha Kikanda hasa Kaskazini. Maeneo kama Iringa Mjini na Mbeya ni kwa makosa waliyofanya CCM wakati huo. Nao wamejua walijikwaa wapi.
UKAWA sasa kwisha habari yao. Cake yao sasa imemegwa na kwenda ACT. Hiyo pekee itatengeneza njia kwa CCM kujihakikishia ushidi Oktoba na ACT kuambulia maeneo kadhaa. Nakitahilia ACT viti 15 vya Ubungo ifikapo Uchaguzi Mkuu.
Kama wanaakili nzuri,CDM wajipe miaka 5 mbeleni ya kujiandaa na kujipanga. Kwa sasa bado ni wachanga na nchi haitachukuliwa kirahisi kwa uroho wa Madaraka.
Wanawatumia Wafanyabiashara eti wakidhani ni mkakati kumbe ni kunyesa tu Mwenyekiti wao,MCHAGA,MWANA CDM,MINJA!
CDM watakula jeuri yao mwaka huu!
Hawana uvumilivu kwa wasaliti kama vile wewe usivyokua na uvumilivu kwa kila kitu unaendeshwa na hisia Kama jina lako unavyojiita " patient zero"CHADEMA wanafanya kazi kwa kuongozwa na hisia sana. Kwa nchi zilizoendelea hata kama mwanasiasa amethibitika anakihujumu chama, ila as long as ana impact ndani na nje ya chama, sometimes its normal to work with the devil!
Unaweza kutuwekea fact za impact ya Zitto ndani ya CHADEMA na tuanzie kwenye jimbo lake na mkoa wa Kigoma.CHADEMA wanafanya kazi kwa kuongozwa na hisia sana. Kwa nchi zilizoendelea hata kama mwanasiasa amethibitika anakihujumu chama, ila as long as ana impact ndani na nje ya chama, sometimes its normal to work with the devil!
vyama vya upinzani mbona tayari ni marafiki na wana umoja unaitwa ukawa?hivyo vingine sio vyama vya upinzani na matawi ya ccm