Ni kweli usemacho. Tusitangulize ushabiki mbele katika hili. Think tanks wa chadema wakae chini na kutafuta namna ya kuvuka mtihani huu. Vinginevyo mpasuko na mmeguko utaendelea
Nimeipenda hii ndani yake kama ukisoma kwa umakini unaona kitu ndani yake chadema wajipange siyo utani ni jeraha kubwa sana.Chadema kama taasisi imepata jeraha kubwa. Jeraha hili linahitaji tiba madhubuti ili lisikigharimu chama. Maana viongozi waliopo ACT wanajua siri zote za chadema. Walikuwa wanashiriki vikao vya ndani kabisa vya chama. Ni sawa na kuachana na mke/mume. Hakuna wa kujivuna. Bali akili lazima itulie ili kuendelea na maisha mapya. Na usipo kaa vema utaishia kunywa pombe au kufanya ukahaba kwa kuchanganyikiwa.
Na ndiyo maana kwa mnaofuatilia kinachoendelea ukumbi wa Diamond Jubilee. Kuna mwanadada muigizaji alipotupa dogo linaloilenga chadema ukumbi mzima ulilipuka kwa shangwe. Nitanikuu "kumpiga chura teke ni kumpunguzia safari".
Kwani Yeye Afande alipovua nguo hadharani ni Kwamba vijana wote wanavua nguo?. Chadema ni Chama hakiwezi kumvumilia mwenda wazimu.
Huyu nae!! angalia akiba ya vichwa vilivyopo cdm zzk ataleta madhara gani kwa kuondoka kwake? siri gani zaidi ya ilani?
Mfano wako umenikuna aisee!Rooney akihamia Stoke City FC haimaanishi wataanza kuifunga Man Utd kila siku. Strategy is an evolving game
Ni mchubuko siyo jeraha, hakuna siri katika chama zaidi ya yale yaliyomo kwenye katiba ambayo kila mtu husoma, huwezi ukawazuia bendera fuata upepo kutoka ndani ya chama kwenda chama kingine wakifuata maslahi yao, kila siku tunatangaziwa watu wanarudisha kadi za CHADEMA lakini chama kinazidi kukua. Ilikuwa ni wakati muafaka kwa ZZK kufukuzwa ndani ya Chama kuondoka kwake ni siyo jeraha bali ni kamchubuko tuuu
Chadema kama taasisi imepata jeraha kubwa. Jeraha hili linahitaji tiba madhubuti ili lisikigharimu chama. Maana viongozi waliopo ACT wanajua siri zote za chadema. Walikuwa wanashiriki vikao vya ndani kabisa vya chama. Ni sawa na kuachana na mke/mume. Hakuna wa kujivuna. Bali akili lazima itulie ili kuendelea na maisha mapya. Na usipo kaa vema utaishia kunywa pombe au kufanya ukahaba kwa kuchanganyikiwa.
Na ndiyo maana kwa mnaofuatilia kinachoendelea ukumbi wa Diamond Jubilee. Kuna mwanadada muigizaji alipotupa dogo linaloilenga chadema ukumbi mzima ulilipuka kwa shangwe. Nitanikuu "kumpiga chura teke ni kumpunguzia safari".
Chadema kama taasisi imepata jeraha kubwa. Jeraha hili linahitaji tiba madhubuti ili lisikigharimu chama. Maana viongozi waliopo ACT wanajua siri zote za chadema. Walikuwa wanashiriki vikao vya ndani kabisa vya chama. Ni sawa na kuachana na mke/mume. Hakuna wa kujivuna. Bali akili lazima itulie ili kuendelea na maisha mapya. Na usipo kaa vema utaishia kunywa pombe au kufanya ukahaba kwa kuchanganyikiwa.
Na ndiyo maana kwa mnaofuatilia kinachoendelea ukumbi wa Diamond Jubilee. Kuna mwanadada muigizaji alipotupa dogo linaloilenga chadema ukumbi mzima ulilipuka kwa shangwe. Nitanikuu "kumpiga chura teke ni kumpunguzia safari".
Jitahidi kutafakari kabla ya kuandika, hao unaowaona leo huko ACT waliishatupwa kando na CHADEMA kabla chama hakijafanya uchaguzi mkuu na ni vema ukajiuliza kama wangekuwa na madhara kwenye chama matokeo ya uchaguzi serikali za mitaa kwa CHADEMA yangekuwa kama yalivyo? Zitto kafukuzwa kukiwa bado maeneo mengine yanafanya chaguzi za marudio serikali za mitaa vipi kuhusu matokeo yake.
Ni vema ukatambua kuwa kwa sasa ACT inashabikiwa kiasi kikubwa na wanaCCM kama ilivyokuwa kwa ADC kwani kwa upande wa CHADEMA wafuasi, wapenzi na wanachama wote wanakipenda chama na sio mtu au watu na ndio maana hawateteleki na chama kitabaki kuwa imara daima.
Chadema kama taasisi imepata jeraha kubwa. Jeraha hili linahitaji tiba madhubuti ili lisikigharimu chama. Maana viongozi waliopo ACT wanajua siri zote za chadema. Walikuwa wanashiriki vikao vya ndani kabisa vya chama. Ni sawa na kuachana na mke/mume. Hakuna wa kujivuna. Bali akili lazima itulie ili kuendelea na maisha mapya. Na usipo kaa vema utaishia kunywa pombe au kufanya ukahaba kwa kuchanganyikiwa.
Na ndiyo maana kwa mnaofuatilia kinachoendelea ukumbi wa Diamond Jubilee. Kuna mwanadada muigizaji alipotupa dogo linaloilenga chadema ukumbi mzima ulilipuka kwa shangwe. Nitanikuu "kumpiga chura teke ni kumpunguzia safari".
mkuu,nilikuwa shamba wilaya moja ya mkoa wa Pwani ambako huko ni CUF na CCM,lakini kitu nilichokiona kwa siku 2 nilizokuwepo huko,wana CCM na CUF wengi sana wanasema wangependa kujiunga na chama hiki kipya (ACT) kama kitakuwa tofauti na vyama walivyokuwepo,yaani CCM na CUF.
Mimi kwa mtazamo wangu naona hiki chama kama kitajipanga kweli na kujitanabaisha bayana kuhusu sera,itikadi,katiba na mambo yanayohusu mustakabari mzima wa mwananchi wa kawaida,basi kitavuna maelfu ya wafuasi,hasa hasa wafuasi wa CCM.
Ni muhimu kutazama CHADEMA na ACT kama taasisi na sio mtu mmojamoja ili kuweza kuja na neon linaloweza kuwakilisha yanayotokea ndani ya taasisi hizo sasa hivi. Kama ni pigo labda kwa mtu mmojammoja kama ZZK alivyo au Slaa au Mbowe. Taasisi zilizoundwa kwa misingi thabiti huwa haziyumbi pale individuals wanapobadili misimamo yao kama ZZK alivyofanya kwa CHADEMA.
Hakuna jeraha hapo,hapo kuna mchubuko tu ndugu.
tambua kwamba kila kukicha mbinu zinaibuliwa,alafu kitu kingine ni kwamba zzk aliacha kushiriki mambo ya chama karibia miaka miwili,so from there mambo mengi mema ya kukijenga chama yamefanyika.
let him go,we can do better without him.