Siyo sifa kuwa na wapenzi wengi

Siyo sifa kuwa na wapenzi wengi

gwahe

Senior Member
Joined
Nov 24, 2014
Posts
147
Reaction score
84
Kuwa na wingi wa wasichana/wavulana au wanawake/wanaume kwenye mahusiano, haisaidii kupata mtu anayefaa au unayempenda zaidi.

Bali ni kujichosha kisaikolojia na kikubwa zaidi kukutana na sampuli nyingi zinazokupa twasira mbaya ya kuona mahisiano ni kitu cha kufanya maamuzi magumu. Unaweza kukubaliana na tafiti hii hapo chini pia.

Is clearly correct, when faced with many choices, we are less likely to be happy with what we choose. No doubt this is familiar to you. In one test, they offered six varieties; another test, they offered 24.

The results of the study showed that 30 percent of people exposed to the smaller selection ended up purchasing a jar of jam. Only 3 percent of the people exposed to the larger selection purchased jam.

Jar of Jam and Jam, Tafakari.
 
Unfortunately MEN ARE NOT JARS OF JAM. With Men YOU NEED TO MAKE YOUR OWN THEORIES OF LIFE AND WHAT MAKES YOU HAPPY!

Huwezi kufanya theory ya FRIST COME FIRST GET kuwa anaekuja wa kwanza ndo unmpa mzigo, hell no! Evenen NOKIA KITOCHI WAS THERE BEFORE I PHONE 6 PLUS SO WHAT? Pamoja na kuwahi kote it just doesnt feet in. Things fall apart.

Though i am a collector. I collect good looking men just for reference and when i am old and stuck up i remind myself of how versatile i once was. :lol::lol:. Like trophys maybe. If i break up with good looking men i make them my friends.:lol:. It is a bda habit, nothing to be proud of. TRUST ME I KNOW BUT I AM DOING IT ANYWAY.
 
Haa kuwa wa kwanza ndo kumpa mzigo?duhh ? Umenichekesha, No please unaweza kuwa dating nyingi au just normal friendiship zisiwe na choices, unaweza ukawa na dating chache zenye muono chanya, siyo kila mtu achungulie VIP.

Lakini wadada wa siku hizi au wanaume, they fall in love like falling with smartphones. Wanatoa papuchi zao km njugu. Wanaume pia wanaona sifa kusema wamesex na girls zaidi ya 50? Kuna mada moja hapa MMU,ilisema wanaume hutafuta nn kwa wanawake? so choice and making choices are likely the way u play the game,the game is urs.
 
Mtoa mada asante sana hii imetulia, wala haiotaji mbwembwe sana, ukweli ni kwamba sio sifa, ila sasa kutambua hilo inategemea na mtu mwenyewe, na kujitoa kuamua kuacha. tofauti na hapo hata useme kwa mbereko ni kazi bure
 
Kuna kipindi mtu anaona sifa sana kuwalala wadada wengi, hata kuwa na wadada zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja. Lakini inafikia mda unaona kama ni ujinga na ulimbukeni tu.

Na mara nyingi ukishaenda umri kidogo, unaangalia nyuma, unahesabu na kusema, "hapa sina cha kujivunia zaidi ya kujisikitikia".
 
Unfortunately MEN ARE NOT JARS OF JAM. With Men YOU NEED TO MAKE YOUR OWN THEORIES OF LIFE AND WHAT MAKES YOU HAPPY!

Huwezi kufanya theory ya FRIST COME FIRST GET kuwa anaekuja wa kwanza ndo unmpa mzigo, hell no! Evenen NOKIA KITOCHI WAS THERE BEFORE I PHONE 6 PLUS SO WHAT? Pamoja na kuwahi kote it just doesnt feet in. Things fall apart.

Though i am a collector. I collect good looking men just for reference and when i am old and stuck up i remind myself of how versatile i once was. :lol::lol:. Like trophys maybe. If i break up with good looking men i make them my friends.:lol:. It is a bda habit, nothing to be proud of. TRUST ME I KNOW BUT I AM DOING IT ANYWAY.
Iv Lara we ni msungu au ni mtoto wa balozi auuuu we Ni medium English maaana naona kiiingeleza tuh hapo
 
Mazoezi ndugu yangu, huku uswazi sina wa kuongea nae.
 
Kuna kipindi mtu anaona sifa sana kuwalala wadada wengi, hata kuwa na wadada zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja. Lakini inafikia mda unaona kama ni ujinga na ulimbukeni tu.

Na mara nyingi ukishaenda umri kidogo, unaangalia nyuma, unahesabu na kusema, "hapa sina cha kujivunia zaidi ya kujisikitikia".

hakika
 
Mtoa mada asante sana hii imetulia, wala haiotaji mbwembwe sana, ukweli ni kwamba sio sifa, ila sasa kutambua hilo inategemea na mtu mwenyewe, na kujitoa kuamua kuacha. tofauti na hapo hata useme kwa mbereko ni kazi bure

kujitoa kuamua kuacha hapo nimepapenda
 
Back
Top Bottom