johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,131
Kwa mara ya kwanza kuona WATU wanatoa Zawadi ya Viatu ilikuwa mkoani Tanga ambako mbunge Mmoja wa viti maalumu alitoa Zawadi ya Viatu kwa wananchi
Ila nimeshuhudia hata Kunduchi Mtongani hadi kule Soko la Samaki Watoto ni Mwendo wa Pekupeku tu kule Pwani ndio kabisa hadi baba zao hawavai hata Yeboyebo
Tatizo ni nini?
Mlale unono 😀😀
Ila nimeshuhudia hata Kunduchi Mtongani hadi kule Soko la Samaki Watoto ni Mwendo wa Pekupeku tu kule Pwani ndio kabisa hadi baba zao hawavai hata Yeboyebo
Tatizo ni nini?
Mlale unono 😀😀