Inawezekana, naulizia for directions, au nauliza kama unamfahamu bibi yake mkubwa shetani..au kama kwenu mnauza mayai ya kuku wa kienyeji au labda nakuomba unipe lifti kwenye mgongo wako..
Sasa nakuita umenuunaaaa....sura imejikunjaaaaaaaaaaaaaaaaaa....
alaaaa, sio lazima nikikuita nakutongoza, unajua nimekuitia nini