M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,386 Jan 24, 2014 #3 Hapo itakuwa ni lazima kuna simba au chui au cheetah maana wale wadude ni nadra sana kuonekana na wakionekana madereva wote wanaambiana
Hapo itakuwa ni lazima kuna simba au chui au cheetah maana wale wadude ni nadra sana kuonekana na wakionekana madereva wote wanaambiana
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Jan 24, 2014 #4 Hapo yupo mfalme wa nyikani ambae mwenyekiti wake ni Rage....