toponyondo
Senior Member
- Dec 27, 2018
- 169
- 94
Kuna jambo ambolo si la kawaida huwa linanitoke mara kwa mara maishani mwangu .
yaani , nikiwa shambani au nyumbani nitaona kundi la nyuki likipita au kutua kalibu yangu .
Kwangu mimi ni jambo linalonichanganya sana.
NAWASILISHA.