Pole mpendwa kwa usumbufu uliopata, makato kwa mwenzi ni Tshs 1888 kwa akaunti inayoendeshwa kwa sarafu ya Tanzania mfano akaunti ya akiba, mwanafunzi.Ahsante kwahiyo kumbe SimBanking kumbe ndo kutoa hela kwa njia ya ATM mashine mkuu
Kila mwisho wa mwezi crdb wanakata fedha kutoka kwenye akaunti yako,ukidraw kwenye ATM wanakata,ukiangalia kwenye sim banking wanakata,weka fedha nyumbani we,viela vidogo hivyo, utaumizwa benki watakuumiza ukiweka milioni 100,unaitwa kujieleza umezitoa wapi karaha yote ta nini? ,weka nyumbaniJAMAN WANA JF
Mimi nimejiunga na Bank ya CRDB ni mteja mgeni kabisa kwa maswala ya kibank.
Shida yangu ni hyo ya makato yao
Nimefungu Acount ile yenye ki card kimeandikwa TEMBO CARD.
sasa nikaweka 45000 kama kianzio kuweka pesa badala ya kibubu.
Leo nimeenda kutoa 10000 kwa mala ya kwanza ili nione kama makato yao yako vipi kama naweza kuyamudu
Nimeangalia salio kwa njia ya Simbanki naona kuna 33702
Maana yake wamenikata 1298
Swali langu kama nawe unatumia Acount kama yangu
Hili kato ni la mwezi mzima au mwisho wa mwezi wanakata tena
Alafu kila nikitaka kutoa pesa KWA ATM MASHINE WANAKATA TENA AU MPAKA MWEZI UUISHE
NAWASILISHA
MUNGU AWABARIKI NYOTE MTAKAO NIJUZA VYEMA
AMEN
Pole mpendwa kwa usumbufu uliopata, makato kwa mwenzi ni Tshs 1888 kwa akaunti inayoendeshwa kwa sarafu ya Tanzania mfano akaunti ya akiba, mwanafunzi.
Makato kwa njia ya simbanking kuangalia salio ni shs 354 na kutoa pesa kuanzia 0 -- 200,000 ni shs 2594 inapanda kulingana na kiasi unachotoa
kutoa pesa katika ATM gharama ni shs 944 kwa kila muamala utakaokua unaufanya na kutoa pesa kwa cashier dirishani ni 2594, mpka kwa kiwango kisichozidi mil 10
Kuangalia salio kwa sim banking CRDB nao wanakata hela? Nilijua hela inakatwa na mitandao ya simu kama voda kutumia simbanking lazima uwe na salio, na benki wanakata kumbePole mpendwa kwa usumbufu uliopata, makato kwa mwenzi ni Tshs 1888 kwa akaunti inayoendeshwa kwa sarafu ya Tanzania mfano akaunti ya akiba, mwanafunzi.
Makato kwa njia ya simbanking kuangalia salio ni shs 354 na kutoa pesa kuanzia 0 -- 200,000 ni shs 2594 inapanda kulingana na kiasi unachotoa
kutoa pesa katika ATM gharama ni shs 944 kwa kila muamala utakaokua unaufanya na kutoa pesa kwa cashier dirishani ni 2594, mpka kwa kiwango kisichozidi mil 10
Vodacom wanakukata pesa, tofauti na mitandao mingineKuangalia salio kwa sim banking CRDB nao wanakata hela? Nilijua hela inakatwa na mitandao ya simu kama voda kutumia simbanking lazima uwe na salio, na benki wanakata kumbe
Ahsante sana mkuuPole mpendwa kwa usumbufu uliopata, makato kwa mwenzi ni Tshs 1888 kwa akaunti inayoendeshwa kwa sarafu ya Tanzania mfano akaunti ya akiba, mwanafunzi.
Makato kwa njia ya simbanking kuangalia salio ni shs 354 na kutoa pesa kuanzia 0 -- 200,000 ni shs 2594 inapanda kulingana na kiasi unachotoa
kutoa pesa katika ATM gharama ni shs 944 kwa kila muamala utakaokua unaufanya na kutoa pesa kwa cashier dirishani ni 2594, mpka kwa kiwango kisichozidi mil 10
Ahsante sana mkuyKila mwisho wa mwezi crdb wanakata fedha kutoka kwenye akaunti yako,ukidraw kwenye ATM wanakata,ukiangalia kwenye sim banking wanakata,weka fedha nyumbani we,viela vidogo hivyo, utaumizwa benki watakuumiza ukiweka milioni 100,unaitwa kujieleza umezitoa wapi karaha yote ta nini? ,weka nyumbani
Makato yenu madogo sio kama NMBPole mpendwa kwa usumbufu uliopata, makato kwa mwenzi ni Tshs 1888 kwa akaunti inayoendeshwa kwa sarafu ya Tanzania mfano akaunti ya akiba, mwanafunzi.
Makato kwa njia ya simbanking kuangalia salio ni shs 354 na kutoa pesa kuanzia 0 -- 200,000 ni shs 2594 inapanda kulingana na kiasi unachotoa
kutoa pesa katika ATM gharama ni shs 944 kwa kila muamala utakaokua unaufanya na kutoa pesa kwa cashier dirishani ni 2594, mpka kwa kiwango kisichozidi mil 10
Weka ya NMB tulinganisheMakato yenu madogo sio kama NMB
Kuangalia salio kwa sim banking CRDB nao wanakata hela? Nilijua hela inakatwa na mitandao ya simu kama voda kutumia simbanking lazima uwe na salio, na benki wanakata kumbe
Ngoja mwenye infos za NMB aweke hapa tuangalieWeka ya NMB tulinganishe