Sixtus Mapunda ana cheo gani CCM?

Sixtus Mapunda ana cheo gani CCM?

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,114
Reaction score
5,114
Nilikuwa clubhouse na nimevutiwa sana na jinsi Sixtus Mapunda alivyoweza kujibu maswali mbalimbali kuhusu siasa na CCM. Very composed, well informed na hata akitetea uongo anautetea kisayansi zaidi.

Abdul Nondo amejaribu kumtikisa lakini wapi na mwishowe nilifurahishwa na msimamo wake kuhusu haki ambapo naye alikiri ya kuwa "kwa sasa Polisi wana haki zaidi kuliko watuhumiwa".
 
Mtoto wa Shule Nondo ,awe na Maswali ya kumuuliza Mapunda.
 
Hiyo kauli ya kusema kwa sasa polisi wana haki kuliko watuhumiwa imejibiwa kisiasa sababu tuna mahakama ambazo zinasikiliza mashauri na kutoa maamuzi polisi kazi yake kukamata na kwenda kuielezea mahakama kwanini alimkamata mtuhumiwa.
 
Tangu kesi ya Mbowe nimekuwa natembelea sana clubhouse na leo ilikuwa ni bahati.Simjui huyo Mapunda lakini amenivutia sana kwa alivyojibu maswali.
 
Tangu kesi ya Mbowe nimekuwa natembelea sana clubhouse na leo ilikuwa ni bahati.Simjui huyo Mapunda lakini amenivutia sana kwa alivyojibu maswali.

Kasalimie kabinti kale ka maliasili mbinga
 
Huyu jamama alikuwa mbunge wa mbinga mjini 2015-2020 na kabla ya hapo alikuwa katibu mkuu wa uvccm,
huyu jamaa ripoti ya bashiru ilimtaja kama mtu aliyefanya ufisadi mkubwa sana alipokuwa katibu mkuu wa uvccm,
kwenye kura za maoni ndani ya ccm kugombea ubunge jimbo la mbinga mjini 2020 aliongoza lakini Magufuli alikata jina lake.
Huyu jamaa anajipendekeza kwa samia ili asipandishwe kizimbani na takukuru kwa ufisadi alioufanya akiwa Katibu Mkuu wa UVCCM
Kwa sasahivi hana cheo chochote ndani ya CCM.


 
I'd yako ni MIGNON ukiipanga vizuri inakuja MNGONI, Mapunda ni wangoni.

tukisema ni wewe mwenyewe umekuja kujimwambafai utabisaha.?
Umeona! Alafu wwe Jamaa unaakili kubwa sana za kiuuchunguzi!
 
CCM ina hazina kubwa ya wasomi vijana kuliko chama chochote cha siasa Tanzania. Ukiwatizama ktk namna ya kuwapinga pinga tu kwa kila kitu huwezi kuona ubora wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom