Kuna watu ukiwauliza hapo hilo gari tulilokuwa tunalisukuma alikuwemo nani hawajui kwa sababu wameambiwa mkiona gari mkimbie mlisukume na wengi ni watoto wa mabalozi wa nyumba kumi.
title yako tungo tata,inamaana zaid ya moja.moja,gari la msigwa ndo lilisukumwa.mbili,msigwa alisukuma gar la maccm iringa.tatu,msigwa alisukuma gari lake mbele ya maccm iringa.nne,maccm yalisukuma gar la msigwa. na tano
majiziccm kwel yana mawazo mgando...eti gari imesukumwA huku wakiimba...nani kakwambia iringa kunamaviccm?? kumtoa chadema pale ni sawa na kutamani jua lichomoke usiku wa manane...chadema ndio mtawala wa kudumu hapa iringa..
Waliandaliwa, wakavaa sare za chama baadhi, wakatafuta camea boy wakakaa wakisubiri jamaa atokee, wakamsukuma wakiimba. kisha kila mtu akapokea chake movie ikaisha.
Tunamskukuru kwa kutoa ajira za muda mfupi, tunaomba anaporudi tena apite na awalipe watu kusukuma gari lake. hii inasaidia angalau hela wanazoiba zinatufika japo kwa kiwango kidogo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.