hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,808
Ni kweli kabisa hii ni kwa wazinzi na waasherati. Ila, sidhani kama ndoa ndiyo kigezo cha kutokuwa mzinzi na muasherati Boss, ama?
Inategemea na mtu.
Ukiangalia na kulisoma vizuri jibu langu utagundua kuwa ni mimi ndiye niliyejibu.
So that comes from me. The rest have their own opinions like you have yours.