Six Things You Should Never, Ever Tell Her After Doing The Deed

Six Things You Should Never, Ever Tell Her After Doing The Deed

Baby amesafiri kidogo bana,

Msubiri arudi, ulimuachaje aende mwenyewe? Hivi unamjua unamsikia yule?

Mmh kweli mchepuko una nguvu mwee. Haya nendeni kama ndege yenu haitopotelea angani teh (dua la kuku)

Hahahaaaaaaa! Kweli dua la kuku, takuletea zawadi usijali mtoto mzuri.
 
Hayo ndio maneno sasa, kubebana na watoto tena nitashindwa hata kipiga liselfie!! Toto ake usijali next time it ll be you.

Teh teh..Hakuna wa kukubanabana sasa..Hope utarudi umenenepa lol
 
Teh teh..Siitoi kama ilivyo bro..Inaambatana na visifa vya hapa na pale

Thanks inatoka na vibusu vya hapa na pale na mipapaso ya kimahaba

Hahaha. Hapana. Mi imegoma kabisa kutoka. Perharps fellatio, could be the only scenario. I play Bill, she be Monica, then I can say thanx.
 
Back
Top Bottom