Madhara ya Kula sana viporo vya ugali hayo.. ila matumbo kama hayo ndo yenyewe 6*6 mtoto inabidi awe na nyama kiasi sio mwemvamba mifupa yote nje nimekua fisi.
Bimadam utawaweza mwali?juzi kati ndio hawa jawa walisema let people be, leo ndio hawa hawa wanalisema tumbo la shilole. In short, ndi bin adam, hawana jema.