Six pack: Ugonjwa wa wadada

Kwann tunapenda mwanamke mwenye shape nzuri....ikiwa wote papuch mnazo

Mnajua wenyewe mnachopendea... Btw the so called 'shape nzuri' is subjective,wapo wanaopenda vimbaumbau,wapo wanaopenda wanene,wapo wanaopenda kalio,wengine wanapenda flat screen.
Tuachane na hayo kwanza turudi kwenye point yako ya awali ya the so called 'exposure'. Unamaanisha wanaume wanaopenda shepu nzuri ni wale wenye exposure? Kaka yangu kule kijijini analima viazi hana aina ya mwanamke anayependa? Yan hitaji la nafsi yako linataka hadi uwe na exposure?? Kweli??
 
My hasbend mbona hana na nafurahia vizuri tu😛😛😛😛😛

unasema hvyo kwasababu hujawahi kukutana na mwenye six pack lakn siku ukikutana naye na akakuhandle ipasavyo mbona huyo uliye naye utamuona kinyesi
 
unasema hvyo kwasababu hujawahi kukutana na mwenye six pack lakn siku ukikutana naye na akakuhandle ipasavyo mbona huyo uliye naye utamuona kinyesi

Maadam nimeshaingia kwenye himaya ya huyu sitakutana nae mwenye hizo ndude
 

Narudia mwanamke asie na exposure sio rahis kupenda mtu mwenye sixpack....exposure ndogo wewe tulia...ila hata ukiambiwa umchore mwanaume sidhan kama unamchora na kitambi
 
Maadam nimeshaingia kwenye himaya ya huyu sitakutana nae mwenye hizo ndude

nakumbuka siku moja ulinambia sifa ya mwanaume unayempenda.
Ulisema unampenda mrefu mwembamba kiasi..
Vp kuna uhusiano gani ktk mapend kat ya urefu wa umbo la mtu na ufupi?
 
Narudia mwanamke asie na exposure sio rahis kupenda mtu mwenye sixpack....exposure ndogo wewe tulia...ila hata ukiambiwa umchore mwanaume sidhan kama unamchora na kitambi

Rubbish plus nonsense....
 
Mbona naona kama ni mwanamke au macho yangu siku hizi holaaa! hebu ngoja niachukue miwani
 
nakumbuka siku moja ulinambia sifa ya mwanaume unayempenda.
Ulisema unampenda mrefu mwembamba kiasi..
Vp kuna uhusiano gani ktk mapend kat ya urefu wa umbo la mtu na ufupi?

Sijawahi kuongea hicho kitu...utakuwa ulinielewa vibaya. Kwangu mimi ufupi urefu sio ishu...ishu ni personality ya mtu. Kwenye ile thread uliuliza sababu ya watu kupenda wanaume warefu nikakueleza kwa kadri ninavyoelewa lakini sikuwahi kusema kuwa ndo napenda hivyo
 
Mtazamo wako uo....and that is your problem....exposure finyuuu

Ur stlill talking nonsense....endelea kulea hiyo mi six parks na akili ndogo ukidhani ndo utapendwa. Utapendwa na hao malimbukeni mnaojitia wajanja wa mjini......
 

ok! Basi sikuelewa vizr...
Lakn hayo mambo huwa ni namna mtu anavyopenda yeye..
Kama mm napenda mwanamke mwembamba mrefu kias.. Hyo ni kwasababu ni rahsi kummiliki mnapokuwa kuleee...
Lakn ukiletea mwenye hips kubwa na mnene aisee siwez hata kusimamisha...

Hata ww unaweza kuwa sahihi kutopenda six pack
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…