Six pack: Ugonjwa wa wadada

Ni wadada wa facebook (secondari) na wanaoishi kwa wazazi wao yaani bado wanalelewa, hawayajui maisha bado ndo wanapendaga hii kitu, Huwezi kuta mdada na akili zake za kutafuta maisha anafagilia hii kitu. Kwenye picha mbona sioni six pack, naona ka-squeeze tumbo!
 
Loooh mambo gani sasa hayo, kapiga zoezi hadi dushe imekuwa na two pack
 
Excuse me, nilikuwa sijaangalia picha yote! Unamaanisha nini unaposema 'six pack......ugonjwa wa wadada', mbona huyu 'boxer' hardware hamna?? Vipi??
 
Ndicho unachowaza....ila madada wanaopendaga sixpack mostly ni wale wenye exposure kias flan....

Dont beat around the bush...kwa hiyo wanapenda tu bila kujua kazi yake?? Wanapenda kuziangalia tu?? Mgirik amesema umuhimu wake uko kwenye uwanja wa 6*6. Bila kuwa na exposure ya huko huwezi kuelewa si ndo maana yake?
 
Last edited by a moderator:

Kwann tunapenda mwanamke mwenye shape nzuri....ikiwa wote papuch mnazo
 
Last edited by a moderator:
Mbona havi match? Juu ana six packs, chini ana shavu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…