Six Hezbollah fighters killed in Israeli attack

Six Hezbollah fighters killed in Israeli attack

dogo warabu wanatengeneza wao weneywe silaha siku nyingi wewe umelala sana. Hebu soma kisa cha Egypt na Iran kuhusu silaha zao.

Efficiency ya hizo silaha ni ipi? ikiwa hao Iran ndio wanawapa Hizbollah na Hamas ambao hushambulia Israel mara kwa mara na kusababisha Israel kushambulia na kuharibu Palestina kila vita inapozuka lkn miji ya Israel haiathiriki kama ya Palestina, utasema ni silaha za vita kweli au ni toys tu?
 
Jamani Waisraeli siyo Wakristo. Maana wengi wanawatetea kwa sababu hiyo. In fact, Waisraeli wanawachukia sana Wakristo na ndiyo maana wakakubali kuitoa Bethlehem kuwapa Wapalestina. Kama wangekuwa waupenda Ukristo wasingeiachia, kama wanavyoing'ang'ania Jerusalem.
Kuna watu wengi hapa hawakwenda shule za uhakika!

Ww ndo haukwenda shule za uhakika, mm nilivyokuwa form5 tuliambiwa km unataka kwenda israel for prayers andika jina but nkachomoa, na mchungaji ndo alikuwa anaandikisha na anatoa kabisa priorities, if arent christians why should i go??? You have downstairs about "jews+israel" go and read more news concerning middle east especially israel. Did you try to ask u'r self why israel aren't trade partner with their neighbouribg arabs???? Insteady she partner in europe, ht kimichezo israel anashiriki "euro+uefa". Economic+politically+socially based on europe.
 
Efficiency ya hizo silaha ni ipi? ikiwa hao Iran ndio wanawapa Hizbollah na Hamas ambao hushambulia Israel mara kwa mara na kusababisha Israel kushambulia na kuharibu Palestina kila vita inapozuka lkn miji ya Israel haiathiriki kama ya Palestina, utasema ni silaha za vita kweli au ni toys tu?
dogo hebu we niambie Israel anatengeneza silaha gani ya mana?
 
Huwezi kupata picha kwa kuwa Hamas hawajawahi kufanikiwa kuwapiga Israel
Kwa chuki ya Hamas dhidi ya Israel, na kwa jinsi Israel anavyopiga, na kuharibu miji ya Palestina; kama hao Hamas na Hizbollah wangekuwa na uwezo wa kuipiga Israel, Israel leo isingekuwepo kama alivyotamani Ahmednajad alipokuwa Rais wa Iran.

lengo la kuundwa hezbullah ilikua ni kupambana hadi kuyaondoa majeshi ya israel kusini mwa lebanoni na hilo walifanikiwa.
 
lengo la kuundwa hezbullah ilikua ni kupambana hadi kuyaondoa majeshi ya israel kusini mwa lebanoni na hilo walifanikiwa.

Israel walijiondoa au waliondoshwa kwa nguvu? Israel ilijiondoa Lebanon kama jinsi ilivyojiondoa Sinai Misri. Kujiondoa huko ilikuwa kwa Mkataba baina ya Israel na Lebano kwa maslahi ya pande zote mbili kama ulivyokuwa Mkataba baina ya Misri na Israel; Camp David Treaty.

Hebu nipe jibu, kwa nini Israel haijajiondoa ktk Milima ya Golan ingawa Syria jeshi, Hizbollah na Hamas nao wapo?
 
Tafuta ktk vyanzo mbalimbali, tutapata majibu kuwa Israel pia ni muuzaji mkubwa wa silaha, na teknolojia za kjeshi.
We wacha story anauza kitu gani zaidi ya copy and paste kutoka USA, afu anajidai manufacture in Israel. We nipe jina la ndege hata moja ya kivita anayo tengeneza Israel?
 
Israel walijiondoa au waliondoshwa kwa nguvu? Israel ilijiondoa Lebanon kama jinsi ilivyojiondoa Sinai Misri. Kujiondoa huko ilikuwa kwa Mkataba baina ya Israel na Lebano kwa maslahi ya pande zote mbili kama ulivyokuwa Mkataba baina ya Misri na Israel; Camp David Treaty.

Hebu nipe jibu, kwa nini Israel haijajiondoa ktk Milima ya Golan ingawa Syria jeshi, Hizbollah na Hamas nao wapo?
dogo wacha kudanganya toto hapa, Israel alitolewa kibavu na Hezbollah akakimbia Lebanon, hebu nipe wapi Lebanon aliwahi kusign mkataba na Lebanon kama wa Misri na Israel?
 
Israel walijiondoa au waliondoshwa kwa nguvu? Israel ilijiondoa Lebanon kama jinsi ilivyojiondoa Sinai Misri. Kujiondoa huko ilikuwa kwa Mkataba baina ya Israel na Lebano kwa maslahi ya pande zote mbili kama ulivyokuwa Mkataba baina ya Misri na Israel; Camp David Treaty.

Hebu nipe jibu, kwa nini Israel haijajiondoa ktk Milima ya Golan ingawa Syria jeshi, Hizbollah na Hamas nao wapo?

kuhusu golan hizb ndo wametia timu hapo punde na mipango ipo mbioni licha ya kuwepo al nusra wanaosaidiwa na israel ku act kama buffer zone pindi suala hilo likiisha ama kwa nusra kuswich side ama kuwa defeated harakati zitaaza hapo.
lebanon hawakupata kuwa na mkataba na israel bali israel walivamia mwaka 1982 kuwapiga PLO na waka ocuppy hata baada ya plo kuhamia tunisia na ndipo iran ikaunda hezbullah walioendesha mapambano mpaka israel akapull out.

siku wanaondoka lebanon ilikua ni underfire
 
Tafuta ktk vyanzo mbalimbali, tutapata majibu kuwa Israel pia ni muuzaji mkubwa wa silaha, na teknolojia za kjeshi.

israel anatumia ndege F16 za mmarekani,wakati huo uturuki anazitengeneza hizo F16.
anatumia helcopter blackhwk za marekani wakati irani anatengeza helcopter Toufan mwenyewe.
irani anatengeza manowari za kivita,submarine na hata jetfighter
wakati israel hana homemade jetfighter,submarine,manowari
 
Mrusi alikataa kumuuzia mwiran mfumo wa s-300 sasa mwiran akatengeneza kama huo sasa tena mwiran bado wanafanya makubaliano amuuzie s-400
 
Kitu gani nilicho sema ni porojo imefika tarehe 29-01-2015 au 01-02-2015 mpaa useme ni poroja. Afu sikusema na uhakika lazima uwe unasome between the line, nilicho sema nimesikia. Sa poroja zangu zipi tena.

Oh huelewi kitu wewe hata unachokiandika... nimekuelewa ndio maana nikasema hizo ni porojo tu... ndio nami nikaandika kuwa mtaface irony hand

Hebu tizama hii link uelimike

Last edited by a moderator:
dogo Google ni kitu gani? au face book yani hapo ndio umeona deal kubwa sana? kumbuka hivyo bila internet havifanyi kaz sa hio ndio elimui. Kweli ukiwa mjinga ni noma sana. Kuhusu atomic bomb Iran anabembelezwa na USA asitengeneze na USA yuko tayari kumuondolea vikwaza na Iran bado anamzungusha USA si ajabu mpaa Iran kakubali deal kasha kuwa nayo.

acha uchizi wewe? google ndo kitu gani? link zako zote za porojo unazozileta huku unazipata kupitia google, facebook ndo kitu gani? ndo ile iliyochochea arab spring kwa kiasi kikubwa na kusababisha kupinduliwa kwa tawala za kiarabu za vichwa panzi,

na unavyosema havifanyi kazi bila internet usisahau kwamba hata internet haifanyi kazi bila computer na computer bila umeme haina kazi, sasa kama internet ndo wewe umeona ni elimu na innovation ya computer na umeme ni nini? teknologia inapogunduliwa watu wanasonga mbele mkuu kuleta vitu vipya sio kwamba wanabaki hapo hapo.

halaf nuclear teknology iran kapata wapi kama sio urusi? ila ni teknologia ya iliyogunduliwa kwa kiasi kikubwa na wayahudi kama wakina einsten na von neuman, urusi wakaiteka ndo wanawapa iran sasa, we unafikiri iran ana akili gani ya kutengeneza atomic?
 
dogo warabu kila wakipigana wanapigana na Israel bila msaada wa nchi yoyote ile. Israel kuwa na nguvu kuliko warabu ni ndoto tu ya wakristo, kama mlivyo daganywa na Paulo kuwa Prophet Jacob kapigana na malaika wa Mungu akamshinda ndio akaitwa Israel. Ni kichaa tu ndio anaweza kuamini maneno hayo, Israel na Jacob ni watu wawili tofouti kabisa hata bibilai zenu zinasema vile. Isaiah 9:7 and 14:1 Utaona hao ni watu wawili tofauti.
waarabu na iran bila warusi hawana chochote, scientist wote wa iran wanaenda kula desa urusi, kwa jinsi muiran na waarabu walivyomkamia myahudi kama wangekua wanamzidi nguvu kama unavyosema hakika israel asingekua hapo, washafanya kila njia wameshindwa, silaha ya pekee
aliyobakia nayo muiran ambayo ndo ana ndoto nayo kumuangamizia myahudi ni nuclear na ndo maana anahangaika nayo kila siku kwenda kusomesha wanasayansi wake urusi, lakini hiyo israel anayo kuanzia zamani sana,mpaka iran akishaipata hiyo mwenzake atakua kwingine usifikirie watu wapo hapo hapo kila siku
 
israel anatumia ndege F16 za mmarekani,wakati huo uturuki anazitengeneza hizo F16.
anatumia helcopter blackhwk za marekani wakati irani anatengeza helcopter Toufan mwenyewe.
irani anatengeza manowari za kivita,submarine na hata jetfighter
wakati israel hana homemade jetfighter,submarine,manowari

uturuki anazitengenezaje yani? unafikiri kutengeneza hizo stealth fighter ni sawa na kutengeneza skonzi au andazi? hizo ndege bila mkono wa rusia au amerka hamna mwenye uwezo wa kuweka pua hapo, mpaka hao jamaa wakawa na teknolojia hizo usifikiri walilala wakaamka ndege zikaanza kupaa, kuna innovations kibao na generation za teknologia zimepita hapo.
 
Back
Top Bottom