Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,246
- 15,065
dogo kwanza kabisa wenye akili huwa hawatazami dunia wanatazama akhera. Hebu niambie elimu gani anayo Israel?hatuongelei ilimu aahera hapa
dogo kwanza kabisa wenye akili huwa hawatazami dunia wanatazama akhera. Hebu niambie elimu gani anayo Israel?hatuongelei ilimu aahera hapa
Lazima si yeye ndio anawafagia kule Syria, mpaa Israel akaona sa bora aingilie tu direct. Lakini hapo kafanya makosa sana, we tega sikio dogo mimi huwa nawamini sana hao Hezbollah huwa hawasemi kitu bila kukifanya. Hao sio Israel miaka kakalia kuitisha Iran mpaa sa hajafanya kitu. Hezbollah anatafuta target nzuri ili iwe kipigo cha adabu kwa Israel.utaishia kuweka link tu...ila ISIS nasralah anawajua vizuri
Hahaha dogo mimi si kondoo wa kiyahudi mpaa nishindwe kuelewa lugha hio. Paulo hawezi kunidanganya mimi eti Prophet Jacob alipigana na malaika wa Mungu afu akamshinda, ndio Mungu akmpa jina linguine akawa anaitwa Israel. Ni wehu tu ndio wanamini hayo.Mkuu Adisamigo haelewi pengine kiarabu na hiyo alama huwa inamaanisha nini anachojua yeye ni alama ya Chadema hata kama inamaanisha amani haelewi
lazima si yeye ndio anawafagia kule syria, mpaa israel akaona sa bora aingilie tu direct. Lakini hapo kafanya makosa sana, we tega sikio dogo mimi huwa nawamini sana hao hezbollah huwa hawasemi kitu bila kukifanya. Hao sio israel miaka kakalia kuitisha iran mpaa sa hajafanya kitu. Hezbollah anatafuta target nzuri ili iwe kipigo cha adabu kwa israel.
Hawa jamaa kila wanapojipanga kuipiga Israel Wanawahiwa... khofu tele imewapata Waarabu hawajui jinsi ya kumpiga Muisrael japo na usaidizi wa Muajemi Iran... Kati ya hao Muiran mmoja alikuwemo.... ndio maana na Wairan wamekuja juu lakini hawana la Kufanya... na Hezbollah kwasasa wamefirisika.. hawana Kitu mishahara hawajalipana huu mwezi wa tatu unaisha so wanatafuta pa kutokea kuichokoza Israel ili wasaidiwe.... wamewahiwa na watapigwa kila wakijaribu... Waziri wa Israel amesema Hezbollah walikuwa wanafanya nini Syria maana walishasema wao hawahusiki na vita ya Syria... maana waliouwawa walikuwa wakijiandaa kurusha makombora kwa uelekeo wa Ndani ya Israel... ndio kimewakuta cha 40
Warabu wako karibu Million 450 kwa sasa. Nchi za kiarbu ni hizi hapa 21 ziko Middle East and North Africa: Algeria, Bahrain, Djibouti, Egypt, Iraq, Jordan, Kuwait, Lebanon, Libya, Morocco, Mauritania, Oman, Palestine, Qatar, Saudi Arabia, Somalia, Sudan, Syria, Tunisia, the United Arab Emirates, and Yemen.
waarabu milioni 450 wanashindwa kwenda kukapiga ka nchi kenye watu milioni kumi ? Waarabu kweli kuku.
waarabu milioni 450 wanashindwa kwenda kukapiga ka nchi kenye watu milioni kumi ? Waarabu kweli kuku.
kwani ni waarab wote adui wa israel?tatizo n kuwa unakimbilia kuchangia tu na unaonekana una udini
Jordan, Saud Arabia, UAE, Oman, Qatar, Morocco na Egypt.nitajie mwarabu mmoja rafiki wa israel
dogo nimeisha kuambia Israel hawezi kupigana na Hamas aweze kupigana na nchi za kiarabu, huyo bila USA hana kitu.waarabu milioni 450 wanashindwa kwenda kukapiga ka nchi kenye watu milioni kumi ? waarabu kweli kuku.
dogo kwanza kabisa wenye akili huwa hawatazami dunia wanatazama akhera. Hebu niambie elimu gani anayo Israel?
Lazima si yeye ndio anawafagia kule Syria, mpaa Israel akaona sa bora aingilie tu direct. Lakini hapo kafanya makosa sana, we tega sikio dogo mimi huwa nawamini sana hao Hezbollah huwa hawasemi kitu bila kukifanya. Hao sio Israel miaka kakalia kuitisha Iran mpaa sa hajafanya kitu. Hezbollah anatafuta target nzuri ili iwe kipigo cha adabu kwa Israel.
Huwezi Waita Mashetan! Israel hilo Jina wamepewa na Mungu na sio kama Mwamedi alivyopewa Koran na Shetan mwenyewe na Mkewe aliyempita miaka kibao alishuhudia Mwamedi alivyowehuka...Hujiuliz kwa nini veto hutolewa na US badala ya wao wenyewe kukomaa kama kweli hao Mashetan wanauwezo wa kujisimamia peke yao, halafu unataka kuwapa sifa wasiyokuwa nayo!
Umeona jamaa zako wanavyoomba msamaha kwa chati?.Huwezi Waita Mashetan! Israel hilo Jina wamepewa na Mungu na sio kama Mwamedi alivyopewa Koran na Shetan mwenyewe na Mkewe aliyempita miaka kibao alishuhudia Mwamedi alivyowehuka...
Israel ipo miaka mingi na Ahadi ya kuwepo imetolewa na Mungu mwenyewe hivyo Marekani ni kama sehemu ya kutimiza ahadi... na sio Marekani pekee hata Nchi za kiarabu hutimiza wajibu wao wa kuilinda Israel... Waulize Saudia wanaibariki na Mungu anawabariki wewe laani ndio utazidi kulaaniwa.... na matokeo utayaona wewe mwenyewe kwa kushuhudia...
Waislam msaidizi wenu ni Russia so ivamieni tena Israel muone kama Russia atawasaidieni
nitajie mwarabu mmoja rafiki wa israel