Six Hezbollah fighters killed in Israeli attack

jchima14

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
298
Reaction score
56
89dd465baa638860b21397ed48740f9f_M.jpg

A Hezbollah statement said an Israeli helicopter fired missiles on Sunday at Jihad Mughniyeh's car in Quneitra, near the Israeli-occupied Golan Heights, killing a total of six members of the group.

Mughniyeh, 20, was the son of Imad Mughniyeh, who was killed in the Syrian capital Damascus in 2008, also in a suspected Israeli attack.

Imad Mughniyeh was on the most-wanted list of the US for attacks on Israeli and Western targets until his killing.

"Mohamad Issa, the chief of Hezbollah operations in Syria, who died in the air strike, is also a big name, making this a major strike on Hezbollah," Al Jazeera's Nicole Johnston, reporting from Beirut, said.

"The group says there will be retaliation for the attack."

Iran's semi-official Tabnak news site reported that the air assault also killed several Iranian troops, who along with Hezbollah – a Lebanese political group with a powerful military wing and close ally of Tehran – are backing Syrian forces loyal to Syrian President Bashar al-Assad against rebels.

State-run Iranian television said that the identity of the "martyrs" could not be confirmed.

The Hezbollah-run al-Manar news channel said that the Israeli attack suggest "the enemy has gone crazy because of Hezbollah's growing capabilities and it could lead to a costly adventure that will put the Middle East at stake".

Israeli Channel 10 television quoted an official Israeli source as confirming the country's role in the attack.

Israel's Ynet news website also quoted a military source as saying that the operation targeted "terrorists who intended to attack Israel".

"This is the seventh time Israel has attacked targets close to its borders since the war in Syria started," Al Jazeera's Nisreen El-Shamayleh, reporting from the Jordanian capital Amman, said.

A statement on al-Manar television said the fighters were killed during a field reconnaissance mission in Mazraat Amal, a village in Quneitra.

The incident happened three days after Hassan Nasrallah, the Hezbollah leader, said he considered frequent Israeli attacks in Syria as a major aggression, and that Syria and its allies had the right to respond.

Nabil Boumonsef, a columnist at the Lebanon newspaper an-Nahar, said he believed the strike was a direct response to Nasrallah's speech and could lead to a backlash.

"Killing the son of Mughniyeh is dangerous. I do not think that the group can be quiet now, now that the father and the son are killed. I expect that it will do something," he said.

Source:ereporter
 
A Hezbollah statement said an Israeli helicopter fired missiles on Sunday at Jihad Mughniyeh’s car in Quneitra, near the Israeli-occupied Golan Heights, killing a total of six members of the group.
Mughniyeh, 20, was the son of Imad Mughniyeh, who was killed in the Syrian capital Damascus in 2008, also in a suspected Israeli attack.

Imad Mughniyeh was on the most-wanted list of the US for attacks on Israeli and Western targets until his killing.
“Mohamad Issa, the chief of Hezbollah operations in Syria, who died in the air strike, is also a big name, making this a major strike on Hezbollah,” Al Jazeera’s Nicole Johnston, reporting from Beirut, said.
“The group says there will be retaliation for the attack.”
Source: Six Hezbollah fighters killed in Israeli attack - eReporter

Hawa jamaa kila wanapojipanga kuipiga Israel Wanawahiwa... khofu tele imewapata Waarabu hawajui jinsi ya kumpiga Muisrael japo na usaidizi wa Muajemi Iran... Kati ya hao Muiran mmoja alikuwemo.... ndio maana na Wairan wamekuja juu lakini hawana la Kufanya... na Hezbollah kwasasa wamefirisika.. hawana Kitu mishahara hawajalipana huu mwezi wa tatu unaisha so wanatafuta pa kutokea kuichokoza Israel ili wasaidiwe.... wamewahiwa na watapigwa kila wakijaribu... Waziri wa Israel amesema Hezbollah walikuwa wanafanya nini Syria maana walishasema wao hawahusiki na vita ya Syria... maana waliouwawa walikuwa wakijiandaa kurusha makombora kwa uelekeo wa Ndani ya Israel... ndio kimewakuta cha 40
 
dogo wacha mbwembwe nyingi Israel kasha anza kuogpa mgazeti yote ya Israel wanauhakika Hezbollah atarevenge tu, na hao Hezbollah wakisema kitu huwa si jokes. Afu hio ya kusema Hezbollah hawajawapat watu wake mshahara sijui umeitoa wapi.
 
Kama hawajipendi walipize kisasi, watashehelekea ushindi baada ya Raia wao 2000 kuuawa, na Wayahudi 15 kuuawa

Maeneo ya Golan waliuwa wanatafuta nini?
 
Mbona kama miezi miwili walilipisha kisasi na Israel hawajafanya kitu. Israel kawashiidnwa Hamas atawaweza Hezbollah. Hamas aliwapiga Israel mpaa wakaishiw asilaha wakanz akukomba na USA alizoziweka pale Israel. We tuliza ball utege masikio Hezbollah sio lele mama apigwe asirudishe. Na uhakika Israel hawezi kuingia vita kubwa na Hezbollah sababu Hezbollah kisha toa ahadi atabadilisha ramani za Israel safari hii, ikitokea vita kama ile ya 2006.
 
upo mke wa hezbollah
 
Hawa jamaa kila wanapojipanga kuipiga Israel Wanawahiwa... khofu tele imewapata Waarabu hawajui jinsi ya kumpiga Muisrael japo na usaidizi wa Muajemi Iran... Kati ya hao Muiran mmoja alikuwemo.... ndio maana na Wairan wamekuja juu lakini hawana la Kufanya... na Hezbollah kwasasa wamefirisika.. hawana Kitu mishahara hawajalipana huu mwezi wa tatu unaisha so wanatafuta pa kutokea kuichokoza Israel ili wasaidiwe.... wamewahiwa na watapigwa kila wakijaribu... Waziri wa Israel amesema Hezbollah walikuwa wanafanya nini Syria maana walishasema wao hawahusiki na vita ya Syria... maana waliouwawa walikuwa wakijiandaa kurusha makombora kwa uelekeo wa Ndani ya Israel... ndio kimewakuta cha 40
waoga hao jamaa wacha kabisa. kwanza kabisa wamekiona kipigo cha gaza, wanajua majumba yao beirut yatakuwa mavumbi muda si mrefu. israel mwenyewe anatamani siku walianzishe ili amalize kazi kwasababu kule juu threat ya syria haipo kabisa asad kwisha habari yake israel wameenda kupiga hadi damascus hakuna reprisal. hao unaowaona hapo wote waiafutwa na israel itaendelea kusimama wao watabaki kuomba pesa za kujenga vigorofa vyao kama vya kariakoo kule beirut.
 
dogo wacha mbwembwe nyingi Israel kasha anza kuogpa mgazeti yote ya Israel wanauhakika Hezbollah atarevenge tu, na hao Hezbollah wakisema kitu huwa si jokes. Afu hio ya kusema Hezbollah hawajawapat watu wake mshahara sijui umeitoa wapi.

Nimejikuta nacheka mwenyewe hapa.... Hahahaha kwa Comment zako.... Muslam are very fun.....

IDF huwa hadeal na Magazeti wao ni Vitendo tu sio kama vyenu... ukifanikiwa kugusa muisrael lazima uchapwe viboko na sio Maneno maneno.... Huyo Muiran kila siku anatuma watu wanauliwa kama vifaranga na Mwewe... Tizama alichojibu Muislam Mwenzio kuhusu Israel Baada ya Kifo cha General wa Iran aliyetumwa kuwasaidia Hezbollah

(Kamrul Hasan 1/19/2015 3:27:54 PM Its a Zionist trick. PLEASE DO NOT INVOLVE ANY WAR WITH ISRAEL RIGHT NOW. 1) This war may hamper Iran's peaceful nuclear negotiation 2) This war may strength Taqfiri, Salafi, Al Qaida. 3) This war may week Syrian and Iraqi Army.4) This war may force Iran to fight with ISIS where Israel is helping ISIS. DO NOT FALL IN ZIONIST TRAP. Time will come to hurt Israel from the front-end. Wait and patience. Time will come soon.)

Msome Nguguyo anajua Nini Atafanya Israel Mbabe asiyeogopa....

Hezbollah walikuwa wanafanya nini Syria? na kama wakijaribu kuendeleza Uchokozi usije kuandamana kuwa Waislam wanauliwa na Waisrael.... Puta Ngumi Zianze...
[h=2]Iran's IRGC confirms killing of its general in Syria’s Golan[/h]

Mon Jan 19, 2015 1:11PM

94b869bd-d9fe-416c-bb53-1c367cb035ef.jpg

Islamic Revolution Guards Corps Brigadier General Mohammad Ali Allahdadi

Pole Sana Hujui kuwa Hezbollah wamefilisika? Soma Hapa.. chini

Report: Hezbollah Nearing Bankruptcy - Middle East - News - Arutz Sheva
[h=2] Report: Hezbollah Nearing Bankruptcy [/h]
Jan 18, 2015
Lebanese terror group Hezbollah is on the verge of bankruptcy, according to a report in Newsweek. The terror group's financial troubles are a fallout from the dramatic slide in the price of oil, the report claimed. Hezbollah receives most of its funding from Iran, but Tehran - which is losing tens of millions weekly because of the lower prices for what is virtually its sole … (continue reading)

Muhahahahaahha
 
Mlaleo
dogo utacheka sana we tulia tu, kwanza toka lini gazeti la Israel likajua Hezbollah anapesa au hana, ameshindwa kujua Rocket ngapi anazo Hezbollah akajue anapesa ngapi? Hahaha kweli wakristo akili hamna. Ujumbe ndio huo umeisha anza kusambazwa Israel kwa lugha ya kiarabu na kiyahudi.
sayed.jpg

Nasurllah anasema; Ni maeno mawili tu, jiandaeni kwenda kwenye mahandaka.
 
Last edited by a moderator:
dogo asiye na bongo ni yule anategemea USA. Asiye na akili si yule anaye sema binadamu kawa Mungu.

nyie waarabu niwaoga sana hao wayahudi wako milioni kumi waarabu mko milioni mia tatu mmewazunguka kila kona mnashindwa hata kutembea kwa miguu bila hata kutupa jiwe moja mkachukua hiyo nchi. wingi wenu ni wa bure. kama mungu hawezi kuwa mwanadamu basi huyo si mungu, mungu hana mipaka ya kuwa chochote anachotaka.
 
dogo utacheka sana we tulia tu, kwanza toka lini gazeti la Israel likajua Hezbollah anapesa au hana, ameshindwa kujua Rocket ngapi anazo Hezbollah akajue anapesa ngapi? Hahaha kweli wakristo akili hamna. Ujumbe ndio huo umeisha anza kusambazwa Israel kwa lugha ya kiarabu na kiyahudi.
sayed.jpg
Nasurllah anasema; Ni maeno mawili tu, jiandaeni kwenda kwenye mahandaka.

hahahaha, anaewatangazia wenzake waende kwenye mahandaki yeye miasha yake yote ni kwenye handaki amekuwa kama maiti kwenye mwanadani. hii dunia haiishi vituko.
 
Hawa jamaa kila wanapojipanga kuipiga Israel Wanawahiwa... khofu tele imewapata Waarabu hawajui jinsi ya kumpiga Muisrael japo na usaidizi wa Muajemi Iran... Kati ya hao Muiran mmoja alikuwemo.... ndio maana na Wairan wamekuja juu lakini hawana la Kufanya... na Hezbollah kwasasa wamefirisika.. hawana Kitu mishahara hawajalipana huu mwezi wa tatu unaisha so wanatafuta pa kutokea kuichokoza Israel ili wasaidiwe.... wamewahiwa na watapigwa kila wakijaribu... Waziri wa Israel amesema Hezbollah walikuwa wanafanya nini Syria maana walishasema wao hawahusiki na vita ya Syria... maana waliouwawa walikuwa wakijiandaa kurusha makombora kwa uelekeo wa Ndani ya Israel... ndio kimewakuta cha 40

MKuu Samahani hivi unajua tofauti ya HEZBOLLAH na HAMAS ?
 
nyie waarabu niwaoga sana hao wayahudi wako milioni kumi waarabu mko milioni mia tatu mmewazunguka kila kona mnashindwa hata kutembea kwa miguu bila hata kutupa jiwe moja mkachukua hiyo nchi. wingi wenu ni wa bure. kama mungu hawezi kuwa mwanadamu basi huyo si mungu, mungu hana mipaka ya kuwa chochote anachotaka.
dogo Mwenyezi Mungu allsiha walani wayahudi hawawezi kuwazidi warabu kwa kitu chochote, nenda shule kajifunze wayahudi wako wangapi duniani na warabu wako wangapi, Sababu unaongea kama wale watoto wanao soma vidudu.
 
hahahaha, anaewatangazia wenzake waende kwenye mahandaki yeye miasha yake yote ni kwenye handaki amekuwa kama maiti kwenye mwanadani. hii dunia haiishi vituko.
Sawa tutaona nani anakimbia kwenye mahandaka na kuomba vita isimamishwe. Nasrullah haishi kwenye mahandaka dogo wacha uwongo anaishi sehemu sio USA wala Israel wataweza kumgusa, Israel anawinda kumua miaka nahawajui anaishi wapi. Afu mnajidai USA na Israel wanaona kila kitu hahaha..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom