Siwezi kutongoza...

besti..!

mmh! unajua, sina dhumuni la kukupotezea muda sana, ila ukweli ni kwamba,

kila ninapokuona, hata pale unapokuwa mbali nami.. najisikia sana kuwa nawe DEMBA!

please usichukulie kama utani kwa vile tunafahamiana! DEMBA nimetokea kukupenda kwa muda mrefu sasa!!

naomba unielewe besti!! please tafuta ventricle ama auricle yoyote uliweke PENDO langu kwako!

uff!![/QUOTE]
Acha masihara
 
Last edited by a moderator:
Fuata hayo mawaidha. Forgrt about the past utajifrustrate bure, angalia ya mbele,onyesha bidii ya maisha ya baadae, jitahidi kutafuta habari mbalimbaliili uwe na general knowledge hata unapozungumza uonekane una upeo mpana wa mawazo. Jitahidi kujisocialize kwa kushiriki social events mbalimbali. Ukumbuke kuwa Secondary ulikuwa mazingira mengine na sasa uku mazingira mengine jifunze vitu vipya mbalimbali ili uwezekucopena mazingira. All in all zingatia masomo piakwani ndio msingi wa maisha yakoya baadae!All the best.
 
Atakuwa anapitia na kupata doze, Shalet uchanganye na za kwako ! Kwanza una confidence hiyo tu ni credit, kwani kujilipua si ,chezo hata kama ID haijulikani! Mwaka huu hutamaliza, utampata umpendae, halafu usiwe na haraka!
!
 
Shida ya nini nenda Kona baa utajifunza vizuri sana hatua kwa hatua
 
haa haa haaa Excel atakuwa ameshaelewa sasa, mengine ajiongeze mwenyewe usimtafunie kila kitu

dah!

ila unajua nini DEMBA.. yani nimefanya rehearsal lakini nahisi kama i need something for sure!!

goodevening!
 
Last edited by a moderator:
Acha masihara[/QUOTE]

masihara ni sehemu ya kuanza bashasha na romances katika mapenzi we mulondo!

if you didnt know.... now you get to know this!!

if you take it too serious, siku ukimwagwa kama maji yenye povu, ndio utasikilizia escape from sobibo!!

hollaaaa!!!
 
Last edited by a moderator:
MPE demu unayemtaka kimapenzi etiem baada mshahara kuingia umpatie na namba ya siri utakuwa umeshamtongoza tayari
 
Kwani huyo mmoja uliyempata hakutoshi?
 
Tafuta pesa meku,mademu wa cku hzi wanaangalia chapaa na sio uwezo wa kutongoza
 
Ohh,physics hesabu,...
Basi uraiani tafuta pesa,magari kupendezana kunukia kwa wingi,unachagua mrembo unamuweka karibu vi'outing vya hapa na pale,simamia show,mpe mpe hela,basiii,atakuwa wako
 
Pole sana mkuu mwenzio jana nimetongoza na leo nimekula mzigo kiroho safi jifunze kua na maneno matamu kaka..
 
Kwani huyo mmoja uliyempata hakutoshi?

be a gentleman,have confidence,mademu wanaangalia usafi wa nywele na viatu na wanapenda uvae cheni,afu penda kuwasikiliza usionge sana,cheka hata kama hakichekeshi,penda kuwasaidia,waangalie machoni na siyo kwenye maziwa paka marashi ,usiwe mkali au mgovi,penda kutetea,zawadi ndogo kama pipi,chocolate yani utawakimbia
 
Kutongoza ni kujielezea shida na kumpamba kwa vijisifa vya kweli na vya uongo mwenzi wa jinsia tofauti kwa lengo la kukonga moyo wake na hatimayE kumfanya mpenzi wako.
Mapenzi ya kutongozana yaliisha zamani siku hizi watu hupeana fact na wasichana wa siku hizi wanajua mengi kuliko umri wao na unavyofikiri ndio maana unapata taabu.
Kutongoza hakuna formula wala chuo watakudanganya useme sili wala silali juu yako,utajibiwa; mimi ninaye Yesu ushindwe na ulegee
Then? Kwa kuwa maneno huumba wanaume wengi wamelegea wanatafuta dawa za kuongeza nguvu za kiume? Mara kula kitimoto mara kula mchuzi wa pweza KUCHAPIWA ni siri za ndani .
 
Hayo ungemueleza mtoa maada,unanuambia mimi tena?
 
Pole sana mkuu mwenzio jana nimetongoza na leo nimekula mzigo kiroho safi jifunze kua na maneno matamu kaka..

Duh!! nipe number yake yawezekana wako mwepesi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…