haaa haaa haa we Excel bana acha ubahili kuna chuo ambacho kinatoa kozi ya mambo ya utongozaji......
sbb wewe ni mkali sana class.. anza kutongoza kwa kutumia barua. usisahau kutupiamo physics na maths kwenye barua
ohh!! sorry kwa mara nyingine besti..!
mmh! unajua, sina dhumuni la kukupotezea muda sana, ila ukweli ni kwamba,
kila ninapokuona, hata pale unapokuwa mbali nami.. najisikia sana kuwa nawe DEMBA!
please usichukulie kama utani kwa vile tunafahamiana! DEMBA nimetokea kukupenda kwa muda mrefu sasa!!
naomba unielewe besti!! please tafuta ventricle ama auricle yoyote uliweke PENDO langu kwako!
uff!!
DEMBA please usinielewe vibaya!!haaa! mbona unaonekana expert wa mitongozo.....kujifunza gani huko?
hata sijakuelewaMi sasa nina bahati mbaya mara nyingi nikienda out hata uwanja wa ugenini wale wanaokunywa glass za wine unasema labda hawa ntawamudu ndio hawataki atakunisikia na chupa langu la bia, hila wale wanaokuja kununua machupa ya wine ndio utawaona hao najikuta o-hoo, msaada kwenye tuta.
huyo mmoja alikuwa ana jini mapesa nilikuwa naliwa bila kula.
wakati H.E JAKAYA anasema ukila na wewe lazima uliwe.
Excel tiririka mkuu nafuatilia somo kwa ukaribu.