Siwezi kuoa kwa hali hii

Siwezi kuoa kwa hali hii

mdesi

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
1,373
Reaction score
2,251
Wadau, binafsi sijaoa si kwamba sipendi; napenda sana ila kila nikilifikiria napata kigugumizi kulichukulia hatua.

Nafanya kazi kwenye taasisi binafsi, jambo moja huwa linaniumiza sana kwa muda mrefu & now its too much, hapa kazini wanawake walioolewa tena na pete zao vidoleni plus watoto, wanashindwa kujali heshima walionayo, wao ndo wanatoka na vijana mida ya nchana kwenda guest na kuwasaliti waume zao.

Hii ni sample I hop kama hapa ipo basi hata ofisi nyingine IPO.

Bad enough wanaotoka nao wanawafanya vibaya hadi kinyume na maumbile. Tena gharama wanalipa wasaliti wenyewe.

Waume zao wanajua wapo kazini jioni wanarudi kimyaaa, mme anajua nimempata mke, du kumbe hamna kitu, mbaya zaidi hata kinga hawatumii.

Laiti kama waume wangekuwa wanawanyemelea wake zao wanavyo behave wawapo kazini ndoa zingeisha walai.

Hakuna hata matumaini kama huu usaliti utakuja isha, mliokwisha oa msiwaamini wake zenu labda kwa 0.2%.

Tuwaoe wake gani? mama wa nyumbani shida, wafanyabiashara nao wafanyakazi ndo hao.

Kazi kwenu mliopo kwenye ndoa.
 
Koooooh! Koooooh! Koh! MARRIAGE IS A HYPOCRITICALINSTITUTION! Cc Ngongowakulwa
 
Last edited by a moderator:
Curiosity killed the rat...

Ukimchunguza sana bata hutomla, mkuu...!
 
mleta mada mdesi,
wake wamama wa nyumbani tatizo lao nini?
 
Kuoa usikurupuke, ukikurupuka unaweza usije oa tena maishani mwako.

Nimegundua ndoa za wa zamani zilidumu sana kwasababu walikuwa wanatambua umuhimu wa ndoa ila kwa sasa ndoa nyingi(ingawa si zote) zipo kimaigizo, mkumbo, tamaa, kutoa mkosi n.k, ndio maana kudumu maisha ya ndoa inakuwa mtihani kidogo. Mfano hai ni huu uliouleta
 
Ukiangalia ya kaisari kamwe huendelei hebu ya kaisar kpe kaisari
 
Wadau, binafsi sijaoa si kwamba sipendi; napenda sana ila kila nikilifikiria napata kigugumizi kulichukulia hatua.

Nafanya kaz kwy tasisi binafsi, jambo moja huwa linaniumiza sana kwa mda mrefu & now its too much, hapa kazini wanawake walio olewa tena na pete zao vidoleni plus watoto, wanashindwa kujali heshima walionayo, wao ndo wanatoka na vijana mida ya nchana kwnda guest na kuwasaliti waume zao. Hii ni sample I hop km hapa ipo basi hata ofisi nyingine IPO...

Bad enough wanaotoka nao wanawafanya vibaya hadi kinyume na maumbile. Tena ghalama wanalipa wasaliti wenyewe. Waume zao wanajua wapo kazin jioni wanarudi kimyaaa, mme anajua nimempata mke, du kumbe hamna kitu. mbaya zaidi hata kinga hawatumii....

Laiti km waume wangekuwa wanawanyemelea wake zao wanavyo behave wawapo kazini ndoa zingeisha walai!

Hakuna hata matumaini km huu usaliti utakuja isha, mliokwisha oa msiwaamini wake zenu labda kwa 0.2%. tuwaoe wake gani? mama wa nyumbani shida, wafanya biashara napo mh! wafanyakazi ndo hao..

Kazi kwenu mliopo kwny ndoa.....

wewe umejuaje hayo? niliyokoleza nilichokigundua hapo ofisini kwenu mna tabia ya kishamba ya kuhadithiana kama leo umepiga au vp na umetia vingapi na umetumia style gani!!!
huo ni ushamba nyie ndo mnawachungulia wake zenu wakienda kuoga acha hiyo tabia shauri yako utakuwa hudindishi ohooo!!!
 
Back
Top Bottom