. . . . . "Siwezi kumuachia hela nikisafiri" . . . . .!!

Hapa wote ni watoto wa town aisee! Sasa Eiyer alivokwambia haachi kwa nini wewe usisaidie kuokoa jahazi maana inaonekana ni mtu wako wa karibu kama umeweza kuwafuatilia kiasi hicho?
 
Last edited by a moderator:
Ule msemo wa "Ukipenda boga penda na ua lake," haukuja hivi hivi..................!
 
Ahahahahaaaaaaa, so funny na inahuzunisha pia! Huyo jamaa ni noma!
Hata hivyo si wanawake wanadai haki sawa kwa wote katika ndoa, sasa analalamika nini? (Refer Italic, bold and Red below!). Ila aisee, kati ya wagumu niliowahi kuwasikia, huyu ni kiboko yao, dah!
Na huyu jamaa ni ngumu sana kumshauri, na kusema kweli ndoa yake ipo ICU!!

Huyu jamaa anaishi na mwanamke wake kinyumba,ni kama mke na mume.
"
Wakati wanakutana,mwanamke alikua tayari ana watoto wawili aliozaa na wanaume wawili tofauti.
"
Tatizo ni kuwa mwanamke amekuwa analalamika kuwa jamaa huwa haachi matumizi.
Sasa leo ndo nimekutana na jamaa huyo na kumuuliza kulikoni?
Nae alijibu ifuatavyo;
"Sio kweli kuwa simpi hela ya matumizi ila ninaponunua mahindi debe moja likiisha nae anatakiwa anunue kwa kuwa anafanya kazi!
Tatizo la mke wangu huyu ananilazimisha nikisafiri anataka nimwachie hela,sasa nimwachie hela ya nini wakati mimi sipo na sina watoto pale"?
"
Sikujua hasa nimuulize nini,lakini jamaa aliposema kuwa hawezi kulisha watoto ambao sio wake na anapogharamia chakula wakati yupo ni kwa sababu na yeye anakula ndipo nilipomuelewa.
"
Lakini nilimuuliza kuhusu kumgharamia mkewe hata kwa kiasi kidogo kwakuwa yule ni mkewe,jamaa akasema angefanya hivyo kama mkewe angekua hana kazi!
"
Huyu jamaa haamini kama ni sahihi kumpa matumizi mwanamke mwenye ajira.
"
Lakini pia hataki kugharamia familia isiyo yake.
"
Je huyu yuko sahihi?
Kama yuko sahihi inawezekana hii ikawa sababu ya baadhi yetu kuwakimbia wanawake wenye watoto!!
 
Hapa wote ni watoto wa town aisee! Sasa Eiyer alivokwambia haachi kwa nini wewe usisaidie kuokoa jahazi maana inaonekana ni mtu wako wa karibu kama umeweza kuwafuatilia kiasi hicho?

Nilijaribu kumshauri lakini aligoma,kumbuka hapa unatakiwa ushauri tu na si kutoa u"ltimatam"!
 
Last edited by a moderator:
Sasa sikila mtu aishi kwake kama huo ndio mpango. Ila jamaa mtata nimemkubali very tight in spending..
 
Back
Top Bottom