Nitalipiza kisasi kwa kitu kingine na sio mapenzi, mapenzi ni yakuumia leo kesho unapona maisha yanaendelea, na nikiachana na mtu huwa sitaki bifu nae tukikutana tunasalimiana kama kuna dili lolote tunapeana,. kuachana na mtu sio muwe maadui. mimi tukiachana nakugeuza kuwa rafiki sijali umenifanyia nini, ulinifanyia nini najua yote yaliletelezwa na mapenzi tusingekuwa wapenzi katu usingenifanyia hayo uliyonifanyia.