Karibu kwenye Ulimwengu wa Social Media.Et wananzengo humu ndani hii tabia au utaratibu au mazoea ya baadhi ya wanajamii kuishi na watoto Wa ndugu zao ikiwa wazazi wao wamepoteza maisha halafu anapokuj mgen namna ya kumtambulsha unasikia anasema "huyu ndo mtot Wa marehem (k) " umemsahau mimi watoto Wang ni hawa""
Nin maana yake naomba msaadaView attachment 954754
Dah.... Mkuu Uzi wa kutafuta mchumba na habari ya marehemu wapi na wapi?.... Usome uzi upya mkuu...[emoji41]Huyo kwenye picha ni marehemu k au?
Sana sana akaribie JFKaribu kweli Ulimwengu wa Social Media.
Sio JF tu...huyo anaonekana ni mgeni kabisa kwenye internet pia anaonekana ni wa nyumbani.Sana sana akaribie JF
Hahaahahhaaa.. shukrani za pekee kwao.Sio JF tu...huyo anaonekana ni mgeni kabisa kwenye internet pia anaonekana ni wa nyumbani.
Anyway tuwashukuru Wachina..kwa kutulea TEKNO...mpaka watu wa nyumbani wanaingia JF
Hata mimi nimewaza kama wewe maana picha na content ni sawa na kula kiepe ukashushia na chai ya rangiDah.... Mkuu Uzi wa kutafuta mchumba na habari ya marehemu wapi na wapi?.... Usome uzi upya mkuu...[emoji41]
Umenikumbusha jana nilikuwa naangalia RT tv wakifanya interview na CEO wa bitcoin cash yule host alisema waafrika tupo nyuma na mambo ya internet tutawezaje kuitumia cryptocurrency wakati kuna watu hata simu hawana.Sio JF tu...huyo anaonekana ni mgeni kabisa kwenye internet pia anaonekana ni wa nyumbani.
Anyway tuwashukuru Wachina..kwa kutulea TEKNO...mpaka watu wa nyumbani wanaingia JF
Mkuu labda sijaelewa vizuri ila hiyo picha ina uhusiano gani na mada?Et wananzengo humu ndani hii tabia au utaratibu au mazoea ya baadhi ya wanajamii kuishi na watoto Wa ndugu zao ikiwa wazazi wao wamepoteza maisha halafu anapokuj mgen namna ya kumtambulsha unasikia anasema "huyu ndo mtot Wa marehem (k) " umemsahau mimi watoto Wang ni hawa""
Nin maana yake naomba msaadaView attachment 954754
...............Tekno zinafanya vurugu sana mtaani,ukipita hivi unakutana na huyu anapiga picha makalio kayabinua,mwengine midomo kaivuta kule kuna mwengine anaongea na simu Tekno yake mchana wa saa sita ila imewasha torch mara kuna simu inaita katikati ya watu utashangaa wote wanajipapasa.Sio JF tu...huyo anaonekana ni mgeni kabisa kwenye internet pia anaonekana ni wa nyumbani.
Anyway tuwashukuru Wachina..kwa kutulea TEKNO...mpaka watu wa nyumbani wanaingia JF
Hahah sio kawasha Tochi ...MKUU TOCHI IMEJIWASHA YENYEWE!...............Tekno zinafanya vurugu sana mtaani,ukipita hivi unakutana na huyu anapiga picha makalio kayabinua,mwengine midomo kaivuta kule kuna mwengine anaongea na simu Tekno yake mchana wa saa sita ila imewasha torch mara kuna simu inaita katikati ya watu utashangaa wote wanajipapasa.
Mchina kaokoa wengi!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo kwenye picha ni marehemu k au?
Facebook senior userEt wananzengo humu ndani hii tabia au utaratibu au mazoea ya baadhi ya wanajamii kuishi na watoto Wa ndugu zao ikiwa wazazi wao wamepoteza maisha halafu anapokuj mgen namna ya kumtambulsha unasikia anasema "huyu ndo mtot Wa marehem (k) " umemsahau mimi watoto Wang ni hawa""
Nin maana yake naomba msaadaView attachment 954754