Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Tumpe muda atakuja kuleta mrejesho. Mapenzi hayajawahi kumuacha mtu salama - hasa haya ya sili silali. Unaweza kuta mwenzake anamchukulia poa tu wakati yeye huku kawakaa kama nyota inayokaribia kuripukaHilo jibu lako limeniacha hoi, kufa hafi ila cha moto atakiona![]()




