Siwezi kuipenda CHADEMA mpaka itueleze mambo matatu

mmwaisoba

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2012
Posts
434
Reaction score
24
Kwa nini vuguvugu la M4C halina mashiko kwa wa Tanzania? CHADEMA inapenda saana kushika dola kwa hali na mali. Lakini haijajiweka sawa kwa watanzania hasa katika mambo makuu manne.
1 nini itikadi ya CHADEMA?? Wakati hiki chama kinasajiliwa kilisema ninafuata itikadi ya kibepari na ndo maana kikapata urafiki wa conservative party na hatimaye uanachama wa conservative union lakini majukwaani chadema inaimba sana siasa za ujamaa yaani egalitarian

2 kwa nini CHADEMA ilibadilisha bendera yake na kuweka rangi nyekundu?? Nini maana ya hii rangi kwetu sisi Watanzania??

3 kwa nini haitoi mbadala wa mambo ya kuleta maendeleo badala yake ni kulaumu tu kila jambo hata kama viongozi wenyewe wa CHADEMA ni matunda wa hayo wanayoyabeza.

4 kwa nini ushabikia kila uasi ndani ya nchi, ina maana hata chadema ikishika dola itabariki vurugu za kila aina ndani ya nchi??
 
Kwa nini vuguvugu la m4c halina mashiko kwa wa tanzania? Chadema inapenda saana kushika dola kwa hali na mali. Lakini haijajiweka sawa kwa watanzania hasa katika mambo makuu manne.
1 nini itikadi ya chadema?? Wakati hiki chama kinasajiliwa kilisema ninafuata itikadi ya kibepari na ndo maana kikapata urafiki wa conservative party na hatimaye uanachama wa conservative union lakini majukwaani chadema inaimba sana siasa za ujamaa yaani egalitarian

2 kwa nini chadema ilibadilisha bendera yake na kuweka rangi nyekundu?? Nini maana ya hii rangi kwetu sisi watanzania??

3 kwa nini haitoi mbadala wa mambo ya kuleta maendeleo badala yake ni kulaumu tu kila jambo hata kama viongozi wenyewe wa chadema ni matunda wa hayo wanayoyabeza.

maswali haya yameshajibiwa zaidi ya mara 500 mr.closed mind,
mpende akupendaye asiyekupenda achana .................
 
Maswali rahisi sana...hata mie naweza kukujibu....anyway ngoja waje wenyewe....
 
Kwa nini vuguvugu la m4c halina mashiko kwa wa tanzania? Chadema inapenda saana kushika dola kwa hali na mali. Lakini haijajiweka sawa kwa watanzania hasa katika mambo makuu manne.
1 nini itikadi ya chadema?? Wakati hiki chama kinasajiliwa kilisema ninafuata itikadi ya kibepari na ndo maana kikapata urafiki wa conservative party na hatimaye uanachama wa conservative union lakini majukwaani chadema inaimba sana siasa za ujamaa yaani egalitarian

2 kwa nini chadema ilibadilisha bendera yake na kuweka rangi nyekundu?? Nini maana ya hii rangi kwetu sisi watanzania??

3 kwa nini haitoi mbadala wa mambo ya kuleta maendeleo badala yake ni kulaumu tu kila jambo hata kama viongozi wenyewe wa chadema ni matunda wa hayo wanayoyabeza.

4 kwa nini ushabikia kila uasi ndani ya nchi, ina maana hata chadema ikishika dola itabariki vurugu za kila aina ndani ya nchi??

Kwahiyo KWA SASA HIVI HAUNA CHAMA UNACHOKIPENDA? Hata CCM wakikuletea TICKETI YA NDEGE UTAGOMA?
 
Hata hueleweki..itikadi ya magamba kila wakati inamtoa Mapovu Nape Nnauye
 
Samahani mkuu... umeuliza maswali mane (4) badala ya matatu kama kichwa cha habari.

Halafu yaonekana unajifunza siasa...! nenda library ufuatilie trend zote toka chama kinaanza mpaka sasa. nadhani utakuja na maswali ya maana zaidi
 
Najiuliza ulivyokuwa bize na keyboard mwisho ukatoka na utelezi wa thread- kama makamasi vile. Itikadi, rangi nyekundu ya bendera na.....hivi hujuhi nchi yetu ni nchi ya 'kijamaa'?
 
Kwani lazima uipende CDM? Unadhani chuki yako inaweza kuiathiri CDM? Wewe ni nani hadi ujione kama tishio? Mbona maswali yako si mapya hata kidogo? Je hao unaowajua wenye sera unazoelewa ni akina nani? Kwanini hujiungi nao? Unadhani una jipya katika haya maswali yako?
Kwa nini vuguvugu la m4c halina mashiko kwa wa tanzania? Chadema inapenda saana kushika dola kwa hali na mali. Lakini haijajiweka sawa kwa watanzania hasa katika mambo makuu manne.
1 nini itikadi ya chadema?? Wakati hiki chama kinasajiliwa kilisema ninafuata itikadi ya kibepari na ndo maana kikapata urafiki wa conservative party na hatimaye uanachama wa conservative union lakini majukwaani chadema inaimba sana siasa za ujamaa yaani egalitarian

2 kwa nini chadema ilibadilisha bendera yake na kuweka rangi nyekundu?? Nini maana ya hii rangi kwetu sisi watanzania??

3 kwa nini haitoi mbadala wa mambo ya kuleta maendeleo badala yake ni kulaumu tu kila jambo hata kama viongozi wenyewe wa chadema ni matunda wa hayo wanayoyabeza.

4 kwa nini ushabikia kila uasi ndani ya nchi, ina maana hata chadema ikishika dola itabariki vurugu za kila aina ndani ya nchi??
 
Uvivu wa kusoma, haya mambo yapo kwenye mtandao, unasubiri wakusomee, basi kajiunge na magamba tujue moja
 
Umenifanya nijiulize kama mfumo wa uchumi wetu ni wa kijamaa au kibepari kwa kuangalia indicators za ujamaa na ubepari ( sio porojo za siasa )
 
Ujamaa is quit different from egalitarian! (all people are equal with zero degree of classes)
Rangi ya bendera is not a big deal!
Jarib kuuliza vi2 vyenye kujenga!
 
Utasikia sisi CHADEMA itikadi yetu ni nguvu ya umma.........itikadi inakua nguvu ya umma! Hakuna ideology kama hiyo duniani kote! CHADEMA haina itikadi!
 
Kwa nini vuguvugu la M4C halina mashiko kwa wa Tanzania? CHADEMA inapenda saana kushika dola kwa hali na mali. Lakini haijajiweka sawa kwa watanzania hasa katika mambo makuu manne.
1 nini itikadi ya CHADEMA?? Wakati hiki chama kinasajiliwa kilisema ninafuata itikadi ya kibepari na ndo maana kikapata urafiki wa conservative party na hatimaye uanachama wa conservative union lakini majukwaani chadema inaimba sana siasa za ujamaa yaani egalitarian

2 kwa nini CHADEMA ilibadilisha bendera yake na kuweka rangi nyekundu?? Nini maana ya hii rangi kwetu sisi Watanzania??

3 kwa nini haitoi mbadala wa mambo ya kuleta maendeleo badala yake ni kulaumu tu kila jambo hata kama viongozi wenyewe wa CHADEMA ni matunda wa hayo wanayoyabeza.

4 kwa nini ushabikia kila uasi ndani ya nchi, ina maana hata chadema ikishika dola itabariki vurugu za kila aina ndani ya nchi??

Swali la kwanza soma katiba ya CHADEMA sura ya tatu ukurasa wa nne(3B), Swali la pili nenda uk wa 57 (1.3)hayo ndo muhim mengin propaganda tu
 
Mbululalaaaa, cbm haiwezi kua na mtu mwenye upeo mdogo kama miguu ya sisismizi

Napia Chadema haiwezi kuwa namtu asiyejitambua hatayeye mwenyewe kwasababu utaanza kutupotezea muda kukufukuza kama wale wamajuzi,mie siwataji.Ningekushauri uende kule kwa magamba ndio mnalingana akili au umsubiri Shibuda amalize mkataba muanzishe chama chenu
 
Kunawatu hawajui wanafanya nini hapa duniani,ukombozi kwanza,
 
haya maswali kamuulize mwenyekiti wako pengine yeye amesoma vizuri historia ya nchi hii,kama wewe ulivyo mburula na hutaki kuamka basi kamdai mtaala wa elimu pengine utapata kitu kichwani.....
 
Kwa nini vuguvugu la M4C halina mashiko kwa wa Tanzania? CHADEMA inapenda saana kushika dola kwa hali na mali. Lakini haijajiweka sawa kwa watanzania hasa katika mambo makuu manne.
1 nini itikadi ya CHADEMA?? Wakati hiki chama kinasajiliwa kilisema ninafuata itikadi ya kibepari na ndo maana kikapata urafiki wa conservative party na hatimaye uanachama wa conservative union lakini majukwaani chadema inaimba sana siasa za ujamaa yaani egalitarian

2 kwa nini CHADEMA ilibadilisha bendera yake na kuweka rangi nyekundu?? Nini maana ya hii rangi kwetu sisi Watanzania??

3 kwa nini haitoi mbadala wa mambo ya kuleta maendeleo badala yake ni kulaumu tu kila jambo hata kama viongozi wenyewe wa CHADEMA ni matunda wa hayo wanayoyabeza.

4 kwa nini ushabikia kila uasi ndani ya nchi, ina maana hata chadema ikishika dola itabariki vurugu za kila aina ndani ya nchi??
it won't happen to me to love that lichama mpaka libadilishe sera zake za ukanda, udini na ukabila, full stop
 
Back
Top Bottom