Siwezi kufanya Haya kwa sasa

Siwezi kufanya Haya kwa sasa

FBS90

Member
Joined
Jan 27, 2019
Posts
18
Reaction score
16
Mwana jamvi
Kuna vitu au mambo ambayo yapo juu ya uwezo wako huwezi kufanya.
Kipi hicho mdau funguka...

Kwa kweli Mimi kuna mawili
★kubadili dini/ dhehebu
★kufanyiwa tohara(kutairiwa)
Hapo never ....... Siweziiiii
 
Ht mm kwakweli kwanza huwa naona kero tu kwenda kupanga foleni hlf mnaowahangaikia wakishapata wanawasahau kbs.
Unaungua jua la bure
Wewe uko kama mimi!
Ukishawachagua hawaangalii nyuma!
 
Natamani siku nionje ambayo haijatairiwa/govinda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom